Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Mwinyi1.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma.

Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza kufarijika kwamba tayari kamati ya wataalamu imeundwa kusimamia na kuratibu mchakato wa kuanzishwa kwa Mahkama hiyo

Ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar viwanja vya Mahkama Kuu ya Zanzibar, Tunguu, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.

Katika maadhimisho hayo Rais Dk.Mwinyi amezindua Bendera na Nembo rasmi ya Mahkama ya Zanzibar na kupokea ripoti ya utendaji kazi wa Mwaka 2022.

Alisema Serikali itatoa kipaumbele kikubwa katika bajeti yake kwenye matumizi ya Tehama na uimarishaji miundo mbinu ya taasisi za Sheria nchini.

13 Februari 2023,

Viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar,Mkoa wa Kusini Unguja.

USSR
 
Huyu angekua hapa habari zingekua tofauti.

Sio hizi sarakasi tunazofanya sasa.
 
Sasa Magufuri anahusika na nini hapo?? Hivi bado tu hamu amini tu kwamba alishafariki na hatorejea tena?
 
Aache usanii wa kijinga, ameingia madarakani kwa wizi wa kura, ni haki gani anaweza kusimamia?
Matapeli wa siasa mkisikia hivyo mnalialia tu na kujamba jamba hovyo

USSR
 
RAIS DK.MWINYI ASISITIZA UHARAKA WA UANZISHWAJI MAHKAMA YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma.

Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza kufarijika kwamba tayari kamati ya wataalamu imeundwa kusimamia na kuratibu mchakato wa kuanzishwa kwa Mahkama hiyo

Ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar viwanja vya Mahkama Kuu ya Zanzibar, Tunguu, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.

Katika maadhimisho hayo Rais Dk.Mwinyi amezindua Bendera na Nembo rasmi ya Mahkama ya Zanzibar na kupokea ripoti ya utendaji kazi wa Mwaka 2022.

Alisema Serikali itatoa kipaumbele kikubwa katika bajeti yake kwenye matumizi ya Tehama na uimarishaji miundo mbinu ya taasisi za Sheria nchini.

📅
13 Februari 2023,

📍
Viwanja vya Mahkama Kuu Zanzibar,Mkoa wa Kusini Unguja
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma.

Aidha, Rais Dk. Mwinyi alieleza kufarijika kwamba tayari kamati ya wataalamu imeundwa kusimamia na kuratibu mchakato wa kuanzishwa kwa Mahkama hiyo

Ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar viwanja vya Mahkama Kuu ya Zanzibar, Tunguu, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.

Katika maadhimisho hayo Rais Dk. Mwinyi amezindua Bendera na Nembo rasmi ya Mahkama ya Zanzibar na kupokea ripoti ya utendaji kazi wa Mwaka 2022.

Alisema Serikali itatoa kipaumbele kikubwa katika bajeti yake kwenye matumizi ya Tehama na uimarishaji miundo mbinu ya taasisi za Sheria nchini. Leo tarehe 13 Februari 2023.

IMG-20230213-WA0032.jpg
IMG-20230213-WA0033.jpg
 
Mahakama ya Mafisadi inatakiwa Zanzibar ya Bara sijui inaendeleaje hatusikii
 
Fisadi is a mythical creature... Huku bara ilianzishwa lakini imekuwa ngumu sana ku prove ufisadi wa hao wanaoitwa mafisadi.
Pesa ya kuanzisha hiyo mahakama bora wanunue yebo yebo wawape watoto wanaozurura peku peku hapo visiwani.
 
Mwinyi anahangaika ili kujijenga bara badala ya Zanzibar, anajua Zanzibar pagumu, mara ajitembeze masokoni, huko ana waandishi kutoka bara, mara ahutubie kuhusu bei ya chakula, amejaza waandishi kutoka bara, Mwinyi, Kaa huko huko, sisi bado tuna biashara na SSH.

Ukijifanya hujui, tutawaacha ACT wakutingishe vizuri.

Kwa hiyo ndio uje bara uanze kujisemesha kwamba uliendeleza ya JPM? Huku hatukutaki, na JPM hatakiwi Wala wafuasi wake. Tunajua JPM alisema wewe chaguo lake, labda mnafanana ukatili.

Hivi nchi hiyo ndogo kama tandale ndio ya kuijazia mahakama lukuki? Hizo ni mahakama za kisiasa, na hakuna ushahidi kwamba hizi zilizopo zimeshindwa.

Na kwa taarifa tu, Zanzibar ni kama ukoo, tofauti na bara, Zanzibar kukuenezea uvumi Wala hawahitaji wasap/Twitter au Facebook.
 
Toka mwaka uanze, hii ndio comment niliyosoma Ina utoto mwingi ndani yake.
 
Ila ndiyo comment iliyoandika ukweli kuliko zote toka mwaka uanze. Fuatilia ujue wakati wa uchaguzi ww ccm nini kilitokea kati ya Rais wa 'Tandale' na bosi wake. Yaani alichosema huyo chiembe ndiyo ukweli kwa asilimia zote. Jamaa anaona kama kanyang'anywa tonge mdomoni halafu hajakata tamaa. Hakujawahi kutokea Rais wa Tandale mwenye coverage kubwa ya waandishi wa Bara zaidi ya huyo. Ana mpaka kibwagizo cha "Asemavyo Rais wa Tandale" kule TBC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom