LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,118
- 27,121
Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu.
Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi?
Kwa sababu kama kila jambo analo lifanya mwanadamu ni mpango wa Mungu maana yake ni kwamba hata hiyo dhambi uliyo ifanya ni mpango wa Mungu, kwamba Mungu ndio ameamua wewe ufanye hiyo dhambi.. unapo tubu dhambi hiyo maana yake ni kwamba unakosoa mipango ya Mungu kwenye maisha y'ako.