Hii ndio njia rahisi ya kuwafanya waislamu wote duniani kuwa wakristu au wakristu wote duniani kuwa waislamu

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Dec 7, 2018
733
1,677
Duniani kuna dini nyingi ila wakristu na waislamu ndio dini mbili pekee juu ya uso wa dunia ambazo kila moja inajiona ndio dini/imani/ bora, sahihi na yenye haki mbele za Mungu kuliko zote duniani.

Waumini wa dini hizi wana share sifa moja inayofanana nayo ni selfishness. Kwa maana ya kwamba wanataka kila mtu aamini kile wanacho kiamini wao. ( yes it is very true to want someone to believe what you believes amount to selfishness)

When u want me to follow ur beliefs tafsiri yake ni kwamba u want me to be you and that makes u a selfish person

Waislamu wanatamani wakristu wote duniani wawe waislamu vivyo hivyo wakristu wanatamani waislamu wote duniani wawe wakristu.

Kwenye Uzi huu napendekeza njia rahisi ya kufanikisha plan hii.

Kwenye kitabu cha Mhubiri 10:19 mfalme Suleiman anasema " Fedha huleta majawabu ya kila kitu"
Therefore wakristu kama mnataka waislamu wote wawe wakristu nyinyi wapeni hela.

Na waislamu kama mnataka wakristu wote wawe waislamu nyinyi wapeni hela tu.

Anzeni na viongozi wenye wafuasi wengi na ushawishi mkubwa kila nchi.

Kwa mfano kama bongo msilimishe mwamposa au mkristuishe Mazinge. Etc etc.

" Nothing works better than money in the area where money works" Andrew Carnegie (mentor wa Napoleon Hill)

Tumechoshwa na ubinafsi na vitimbi vya wakristu na waislamu wa sayari hii.

Sayari hii inahitaji amani na utulivu zaidi kuliko inavyo zihitaji dini.

Imani zenyewe Msingi wake ni just hearsay. Hamna hata uhakika na mnacho kiamini
 
#kataa ubinafsi
 
Akitokea mtu akasema hakuna mungu, wanaungana kumshambulia. Akiondoka wanaanza shambuliana wao kwa wao.
muslam akikaa pembeni, inaanza vita ya ndani baina yao wakristo.

what is this??
 
kunywa maji lala ubongo wako haujafikia level za kuchanganua hayo mambo!!!!

akili zako zinahitaji pesa kwanza na sio elimu hii
 
Back
Top Bottom