Wakristu kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,127
Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo

Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.

1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)

2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..

3. Wakristu hawana dini ila wana imani.

4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.

Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?

Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.

Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?

Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.

Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba👇

Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.

Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.

Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema

1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.

2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...

BACK TO THE POINT

Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..

Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.

Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.

VIPI KUHUSU WAKRISTU?

Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.

Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.

Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.

Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.

Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .

Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.

Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.

Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.

Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.

Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.

Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
 
Kimsingi kuna mifumo miwili tu duniani. Mfumo wa kuamini Mungu muumbaji na vitabu vyake, yaani kufuata walichofundisha mitume. Nao walifundisha imani na hukumu (vitabu vyote vinaeleza mzinifu afanywe vipi, muuaji n.k) .kilichotokea wanadamu wakabagua cha kufuata.

Mfumo wa pili ni wa kutoamini Mungu muumbaji kabisa (Atheist) au kuamini miungu bandia kama miti, ng'ombe n.k

Hapo mwanadamu huwezi epuka,automatically utaishi kwa kufuata moja ya makundi hayo
 
Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo

Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.

1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)

2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..

3. Wakristu hawana dini ila wana imani.

4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.

Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?

Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.

Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?

Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.

Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba

Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.

Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.

Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema

1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.

2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...

BACK TO THE POINT

Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..

Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.

Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.

VIPI KUHUSU WAKRISTU?

Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.

Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.

Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.

Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.

Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .

Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.

Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.

Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.

Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.

Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.

Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
Mmh!!! Wa christu wana Iman ila hawana Dini ila waislamu wana Dini ila hawana Iman, its confusing to understand fafanua zaidi
 
YESU katika kitabu cha Mathayo 7:16 na kuendelea, aliwatahadharisha watu kuwa siku za mwisho watakuja manabii wengi wa uongo, watawadanganya wengi na wengi watadanganyika.

Wakamuuliza tutawatambiaje, akajibu, mtawatambua kwa matendo Yao.

Hao wanaom judge Huyo Nabii unayemtaja hapa, Wameshamtambua kwa matendo yake.
Sasa usilazimishe watu waone kama unavyoona wewe maana katika Bibilia imeandikwa nanyi mtaona Lakini hamtatambua, mtasikia Lakini hamtaelewa.
 
Ukristo hauwezi kuhukumu Watu kwa sababu hauna sheria ( sio dini).
Dini ni njia. Utasemaje Ukristu siyo dini?
 
Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile.
Dini sio mfumo wa maisha, Dini ni mfumo wa Imani ya kuabudu. Mfumo wa maisha unaletwa na Mila na Desturi zinazotoka kwenye Tamaduni. Ambapo mchanganyiko wa Tamaduni za Makabila, Dini na hali ya mazingira ya eneo mtu alilopo ndio upelekea kuibuka kwa mfumo wa maisha. Dini pekee sio mfumo wa maisha. Ndio maana kuna Waislamu wa madhehebu tofauti Shia, Sunni na wengine na kila hilo dhehebu lina mtindo wake wa kiimani japo wote ni waislamu, ila wanatofautiana. Sasa kama Uislamu ni Mfumo mmoja, mbona kuna madhehebu ya Shia, Sunni na wengineo.

Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?
Kabla ya kusema Wakristo hawana Dini, unatakiwa ujue Tafsiri ya neno Dini;
Dini ni mfumo wa imani na ibada unaoongoza maisha ya kiroho wa watu au jamii.
Kila mwenye Imani na Ibada basi huyo ana Dini. Haijalishi unaabudu nini, utofauti unakuja kwenye mitazamo. Mwingine haamini Jehanamu, mwingine anaamini kuna Jehanamu na kadharika. Hivyo uwezi kusema watu fulani hawana Dini kisa tu hawafanani na wewe kwenye kuabudu.
Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.
MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.

Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile.
Wapi kwenye BIBLIA panaposema MUNGU ni mnyenyekevu, MUNGU anamnyeyekea nani? Yeye ndio Alpha na Omega, yani mwanzo na mwisho. Sasa amnyenyekee nani... Acha kuandika story za vijiweni, lete maandiko

Ukiwa unaleta mada za wakristo, hakikusha unaleta na nukuu za Biblia... Sio story za wakristo wasioelewa Dini
 
YESU katika kitabu cha Mathayo 7:16 na kuendelea, aliwatahadharisha watu kuwa siku za mwisho watakuja manabii wengi wa uongo, watawadanganya wengi na wengi watadanganyika.

Wakamuuliza tutawatambiaje, akajibu, mtawatambua kwa matendo Yao.

Hao wanaom judge Huyo Nabii unayemtaja hapa, Wameshamtambua kwa matendo yake.
Sasa usilazimishe watu waone kama unavyoona wewe maana katika Bibilia imeandikwa nanyi mtaona Lakini hamtatambua, mtasikia Lakini hamtaelewa.
Nani kakupa kibali Cha kumtambua? una utakatifu kiasi gani?
 
LIKUD Mkuu sio kila kitu uzungumzie hata usivyo na elimu navyo, waislamu hawana imani?! kwani imani ni kuamini tu kuwa mungu anaweza kuzaliwa duniani? yaani hiyo ndiyo imani pekee? kwa mujibu wa maarifa yapi na umeyapata wapi.

Kwa ufupi mkubwa, uislamu umeelekeza kidogo kuhusu sifa za allah aliyetukuka na majina yake matukufu pia baadhi, hatujui kuhusu yeye isipokuwa kile alichotufundisha.

"alif-laam-miym, hiki ni kitabu kisicho na shaka ndani yake, hali ya kuwa ni muongozo kwa wachamungu.
Ambao wanaamini mambo yaliyofichikana, na wanasimamisha swala na katika vile tulivyowaruzuku wanatoa{sadaka}.
Na wale ambao wanaamini yale yaliyoteremshwa kwako, na yale yaliyoteremshwa kabla yako, na kuhusu akherah wana yaqini.
Hao ndio wako juu ya muongozo kutoka kwa mola wao, na hao ndio wenye kufaulu.
Qur'an 2:1-5

Ni muhali dini iliyoweka mfumo kamili wa maisha ya mtu tangu akiwa tumboni mpaka anaingia kaburini na baada ya kutoka kaburini, ikose kuwa na imani, na hakuna dini bila imani.

"Ameamini mtume yale yaliyoteremshwa kwake kutoka kwa mola wake, na waumini vilevile, wote wamemuamini Allah na malaika wake na vitabu vyake na mitume wake, hatutofautishi baina ya yeyote katika mitume wake, na wakasema: tumesikia na tumetii, tunakuomba msamaha mola wetu! na kwako tu ndio marejeo."

Qur'an 2:285

Halafu unasema uislamu hauna nini?! kanawe uso upige mswaki unywe chai mkuu, siku nyingine ukizungumzia imani usifupizike tu kwenye jambo la nabii issa amani iwe juu yake, sisi waislamu hatumsifu allah kwa sifa za viumbe bali yeye yuko juu ya arshi yake tukufu juu ya mbingu saba, na amekizunguka kila kitu kwa elimu yake, na wala hivyo havimchoshi kuvihifadhi naye ndiye aliye juu aliye mkuu.
 
Dini sio mfumo wa maisha, Dini ni mfumo wa Imani ya kuabudu. Mfumo wa maisha unaletwa na Mila na Desturi zinazotoka kwenye Tamaduni. Ambapo mchanganyiko wa Tamaduni za Makabila, Dini na hali ya mazingira ya eneo mtu alilopo ndio upelekea kuibuka kwa mfumo wa maisha. Dini pekee sio mfumo wa maisha. Ndio maana kuna Waislamu wa madhehebu tofauti Shia, Sunni na wengine na kila hilo dhehebu lina mtindo wake wa kiimani japo wote ni waislamu, ila wanatofautiana. Sasa kama Uislamu ni Mfumo mmoja, mbona kuna madhehebu ya Shia, Sunni na wengineo.

Kabla ya kusema Wakristo hawana Dini, unatakiwa ujue Tafsiri ya neno Dini;
Dini ni mfumo wa imani na ibada unaoongoza maisha ya kiroho wa watu au jamii.
Kila mwenye Imani na Ibada basi huyo ana Dini. Haijalishi unaabudu nini, utofauti unakuja kwenye mitazamo. Mwingine haamini Jehanamu, mwingine anaamini kuna Jehanamu na kadharika. Hivyo uwezi kusema watu fulani hawana Dini kisa tu hawafanani na wewe kwenye kuabudu.

MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.

Wapi kwenye BIBLIA panaposema MUNGU ni mnyenyekevu, MUNGU anamnyeyekea nani? Yeye ndio Alpha na Omega, yani mwanzo na mwisho. Sasa amnyenyekee nani... Acha kuandika story za vijiweni, lete maandiko

Ukiwa unaleta mada za wakristo, hakikusha unaleta na nukuu za Biblia... Sio story za wakristo wasioelewa Dini
Ukristo sio Dini na zaidi hakuna sehemu katika biblia Mungu kaanzisha Dini.
Dini zote Duniani ni man made, ingelitia kichefuchefu ikiwa mungu nae angelifuata mkumbo wa wanadamu wa kuanziasha dini.
 
MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.
"Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu."
Tito 2:13
 
Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo

Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.

1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)

2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..

3. Wakristu hawana dini ila wana imani.

4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.

Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?

Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.

Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?

Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.

Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba👇

Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.

Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.

Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema

1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.

2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...

BACK TO THE POINT

Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..

Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.

Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.

VIPI KUHUSU WAKRISTU?

Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.

Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.

Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.

Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.

Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .

Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.

Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.

Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.

Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.

Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.

Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
Umeiweka vizuri sana hii
 
Dini sio mfumo wa maisha, Dini ni mfumo wa Imani ya kuabudu. Mfumo wa maisha unaletwa na Mila na Desturi zinazotoka kwenye Tamaduni. Ambapo mchanganyiko wa Tamaduni za Makabila, Dini na hali ya mazingira ya eneo mtu alilopo ndio upelekea kuibuka kwa mfumo wa maisha. Dini pekee sio mfumo wa maisha. Ndio maana kuna Waislamu wa madhehebu tofauti Shia, Sunni na wengine na kila hilo dhehebu lina mtindo wake wa kiimani japo wote ni waislamu, ila wanatofautiana. Sasa kama Uislamu ni Mfumo mmoja, mbona kuna madhehebu ya Shia, Sunni na wengineo.

Kabla ya kusema Wakristo hawana Dini, unatakiwa ujue Tafsiri ya neno Dini;
Dini ni mfumo wa imani na ibada unaoongoza maisha ya kiroho wa watu au jamii.
Kila mwenye Imani na Ibada basi huyo ana Dini. Haijalishi unaabudu nini, utofauti unakuja kwenye mitazamo. Mwingine haamini Jehanamu, mwingine anaamini kuna Jehanamu na kadharika. Hivyo uwezi kusema watu fulani hawana Dini kisa tu hawafanani na wewe kwenye kuabudu.

MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.

Wapi kwenye BIBLIA panaposema MUNGU ni mnyenyekevu, MUNGU anamnyeyekea nani? Yeye ndio Alpha na Omega, yani mwanzo na mwisho. Sasa amnyenyekee nani... Acha kuandika story za vijiweni, lete maandiko

Ukiwa unaleta mada za wakristo, hakikusha unaleta na nukuu za Biblia... Sio story za wakristo wasioelewa Dini
"Mt 11:29 SUV
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu".

Huyu ni Mungu,aliuvaa mwili,akala chakula,akanya,akapata kiu etc.
 
Dini sio mfumo wa maisha, Dini ni mfumo wa Imani ya kuabudu. Mfumo wa maisha unaletwa na Mila na Desturi zinazotoka kwenye Tamaduni. Ambapo mchanganyiko wa Tamaduni za Makabila, Dini na hali ya mazingira ya eneo mtu alilopo ndio upelekea kuibuka kwa mfumo wa maisha. Dini pekee sio mfumo wa maisha. Ndio maana kuna Waislamu wa madhehebu tofauti Shia, Sunni na wengine na kila hilo dhehebu lina mtindo wake wa kiimani japo wote ni waislamu, ila wanatofautiana. Sasa kama Uislamu ni Mfumo mmoja, mbona kuna madhehebu ya Shia, Sunni na wengineo.

Kabla ya kusema Wakristo hawana Dini, unatakiwa ujue Tafsiri ya neno Dini;
Dini ni mfumo wa imani na ibada unaoongoza maisha ya kiroho wa watu au jamii.
Kila mwenye Imani na Ibada basi huyo ana Dini. Haijalishi unaabudu nini, utofauti unakuja kwenye mitazamo. Mwingine haamini Jehanamu, mwingine anaamini kuna Jehanamu na kadharika. Hivyo uwezi kusema watu fulani hawana Dini kisa tu hawafanani na wewe kwenye kuabudu.

MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.

Wapi kwenye BIBLIA panaposema MUNGU ni mnyenyekevu, MUNGU anamnyeyekea nani? Yeye ndio Alpha na Omega, yani mwanzo na mwisho. Sasa amnyenyekee nani... Acha kuandika story za vijiweni, lete maandiko

Ukiwa unaleta mada za wakristo, hakikusha unaleta na nukuu za Biblia... Sio story za wakristo wasioelewa Dini
Basi tuseme tu sasa Mungu kajizaa Mwenyewe
Na hiyo utabisha
 
Back
Top Bottom