Wakuu
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu kuingia kwenye usafiri wa umma nyakati za jioni wakiwa wanatoka mazoezini bila kuoga, wananuka jasho na kwa kweli huwa wanakwaza sana abiria wengine.
Tunajua mazoezi ni afya ila, Kaka na dada zangu mnaotoka gym, jitahidini kuoga kabla ya kupanda usafiri...
TEKNOLOJIA ITAKAVYOSAIDIA KUEPUSHA NAULI KUPANDA KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA UMMA BEI YA MAFUTA IKIPANDA.
Najaribu kuwaza miaka ya baadae jinsi teknolojia itakavyosaidia kuepusha nauli kupanda kwa watumiaji wa usafiri wa Umma pale kunapotokea mabadiliko ya bei za mafuta Duniani.
Nawaza kwa...
Tupunguze utegemezi wa mafuta.
1. Bajaji na Boda boda zote zinazofanya kazi kwenye majiji na manispaa ziwe za umeme. Tuache kusajili bajaji na bodaboda za mijini zinazotumia mafuta.
2. Mabasi ya abiria kwenye manispaa na majiji yawe ya umeme tu.
3. Tuache kujenga miradi ya mwendo kasi wa...
Viongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
Kwa kweli kuna watu hawana ustaarabu kabisa. Unawezaje kuzungumzia maisha ya watu wengine hadharani, bila hata kujali faragha yao, tena ukiwa kwenye usafiri wa umma? Hujui hata kama mmoja wa abiria ni ndugu au jamaa wa huyo unayemzungumzia.
Tulipanda basi pale Segerea na kulikuwa na mzee wa...
Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo inakiuka haki kadhaa za kikatiba.
Katika ombi lake, Wakili Samwel Barongo Nyamari amelaumu Chama cha...
Katika hali isiyokawaida, jana baada ya kumuona Simbachawene akiongea, sikutegemea usiku wa kuamkia leo ningerudi kwa taabu nyumbani. Nimefika Buguruni nikakuta watu wanakimbizwa na wanajeshi, wanawaambia wasitembee.
Ilipofika saa saba usiku, mambo yalikuwa hivyo.
Leo asubuhi natoka barabarani...
Wakuu,
Huu uchaguzi wa mwaka huu ni mbona kama una heka heka sana?
Nimeona baadhi ya vyombo vya usafiri vya umma ikiwemo mabasi na boti vinasitisha safari zake kwa siku ya tarehe 29/10/2025.
Je, haya ni maagizo kutoka juu? Ama ndiyo kujiongeza kupita kiasi ama tension ya maandamano imekuwa...
HAKUNA JIJI LENYE MPANGILIO WA HOVYO KATIKA USAFIRI KAMA ARUSHA..
Kiukweli inashangaza sana kuona jiji kama Arusha linazidiwa na Mikoa ambayo haina hadhi kama ilivyo Arusha kuwa na mpangilio unaoeleweka katika suala zima la Usafirishaji wa Raia.
Magari mengi yanaenda shakalabaghala...
Hii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala
Usafiri wa daladala bado wanatumia vipanya. kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa dali, ukikosa siti huwezi kusimama utainama tu, na kama ni mtu mrefu kuanzia futi 6 utapata tabu sana.
Hivyo...
Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa kuanzia.
Kwa nini daladala zetu hazina mfumo wowote rasmi wa kutunza vitu vinavyosahaulika?
Wakuu...
Waliofanya jambo hilo ni wanaulinzi, wahuni ama mamlaka za nchi lakini kitendo kile kilikuwa ni kosa kubwa sana.
Ni kosa la kupuuza katiba, sheria, haki na uhai wa taifa ambao kuundwa na uhai wa mtu mmoja mmoja.
Kwa alivyofanyiwa Ali Kibao ni uhalifu ambao lazima wahusika wapatikane ili...
Chama cha Liberal Democrats kimependekeza mpango wa kutoza faini ya hadi pauni 1,000 kwa watu wanaocheza muziki au video kwa sauti kubwa katika usafiri wa umma nchini Uingereza. Lengo ni kukabiliana na tabia zisizo za kiungwana na kulinda haki ya wengi wanaotamani safari tulivu. Serikali imesema...
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania
Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?
Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?!
Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya...
Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
Ulimhola!
Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones.
Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa.
Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama...
Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa.
Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti.
Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza...
Zamani nilijua wanaume ndio tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikuwa wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati amesimama nyuma ya mwanamke.
Siku hizi mambo yamekuwa vice versa ambapo mfano kwenye mabasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.