vyombo vya usafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makamura

    Malori Mabovu kuegeshwa Barabarani, mamlaka Inawajibika kukagua Hivi Vyombo vya usafirishaji?

    Barabara ya ubungo-Mbezi mwisho inaongoza kwa Kuegeshwa malori njiani, Malori yanasababisha foleni kubwa sanaa, Nashindwa kuelewa kuwa Mamlaka Huwa haifanyi ukaguzi wa magari haya? Yanaachwa yafanye safari zake yakiwa mabovu cha ajabu yanazima njiani, inakuwa kero kwa Watumiaji wa barabara...
  2. mbenda said

    Ni ipi faida ya Bima ya vyombo vya moto?

    Habari wana zengo natumai wote ni wazima wa afya tele. Mm naomba kufahamishwa faida ya bima ya vyombo vya moto hasa hii bima ndogo ambayo ni lazima kila chombo cha moto uwe nacho, mm naomba kujua nn faida ya huyu mmili wa chombo kama piki piki, bajaji na gali anapata faida gani akiwa nayo?
  3. Crimea

    Zoezi la uvaaji barakoa kwenye vyombo vya usafiri linazingatiwa huko ulipo?

    Wakuu kufuatia tangazo la Serikali kwamba marufuku mtu kupanda kwenye chombo cha usafiri bila barakoa, vipi linazingatiwa huko ulipo? Mimi huku daladala za Gongo la Mboto hamna kitu, maisha ni kama zamani tu.
  4. M

    Wasafirishaji abiria na hali mbaya ya vyombo vya usafirishaji

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Mada kuu ni hali ya baadhi ya vyombo vya usafirishaji vinavyohatarisha usalama wa abiria. Picha chini ni sehemu ya seat ya abiria kwenye daladala ambapo mabati yamekatika na yameachwa kiasi kwamba ni hatari kwa abiria si tu endapo itatokea ajali bali hata...
Back
Top Bottom