CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

DaudiAiko

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
302
274
Wana bodi,

NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?

Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.

Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
 
Attachments

  • 10000000_3128000837487193_8876726576567572660_n (1).mp4
    20.9 MB
Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie, Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
Upara ninao ila lazima wana CHADEMA wanawa hitaji watu kama wewe ili kuweza kupindua meza. Kushindwa uchaguzi kwa asilimia zaidi ya 80 sio mchezo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ halafu anaandika eti kuna mambo muhimu zaidi kuliko Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ni kweli, kuna mambo muhimu kuliko katiba mpya na tume huru, Nitakupa mfano kwa wenzetu. Nchi ya Marekani ina wawezesha wana siasa kupinga matokeo ya uchaguzi kwa kupitia mahakama ila lazima uwe umeshindwa kwa asilimia zisizozidi mbili. Huwezi kushindwa kwa asilimia zaidi ya 80 alafu ukadai kwamba umeshindwa kwasababu tume sio huru au kwamba katiba ni ya zamani.

Tafakari
 
Kwa mwenye ufinyu wa akili tu. Ingekuwa Mbowe au lissu ni babaako au Kakaako usingeandika upuuzi kama huu. Wewe ndiyo wale wa mkuki ni mtamu kwa nguruwe.

Ni kweli, kuna mambo muhimu kuliko katiba mpya na tume huru, Nitakupa mfano kwa wenzetu. Nchi ya Marekani ina wawezesha wana siasa kupinga matokeo ya uchaguzi kwa kupitia mahakama ila lazima uwe umeshindwa kwa asilimia zisizozidi mbili. Huwezi kushindwa kwa asilimia zaidi ya 80 alafu ukadai kwamba umeshindwa kwasababu tume sio huru au kwamba katiba ni ya zamani.

Tafakari
 
Ni kweli, kuna mambo muhimu kuliko katiba mpya na tume huru, Nitakupa mfano kwa wenzetu. Nchi ya Marekani ina wawezesha wana siasa kupinga matokeo ya uchaguzi kwa kupitia mahakama ila lazima uwe umeshindwa kwa asilimia zisizozidi mbili. Huwezi kushindwa kwa asilimia zaidi ya 80 alafu ukadai kwamba umeshindwa kwasababu tume sio huru au kwamba katiba ni ya zamani.

Tafakari
wewe ni miongoni mwa ID za kimkakati , endelea kutumikishwa tangu 2012
 
Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia

Huwezi kumlinganisha Hichilema na wanaojiita viongozi wa chadema waliojawa uchu, ubinafsi na ufisadi usiokua na soni.
Wepesi mno kujiuza na kununulika hawa.... wametuulia upinzani kabisa

Chadema 2005 - 2014
20210724_195112.jpg
images (9).jpeg

Wacha niendelee na kazi mie. Kituo kinachofuata Zomba

Karibuni kusini mwa Tanzania mjifunze jinsi ya kujenga upinzani wenye tija na mafanikio kama wao wanavyokuja kwetu kujifunza jinsi ya kufanikiwa kushika dola kwa kipindi kirefu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Yaani wafuasi wa chadema wa miaka hii wamekua malofa...., ni huzuni kweli๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Naby Keita Unawaelewa hawa watu?
 
Huwezi kumlinganisha Hichilema na wanaojiita viongozi wa chadema waliojawa uchu, ubinafsi na ufisadi usiokua na soni.
Wepesi mno kujiuza na kununulika hawa.... wametuulia upinzani kabisa

Chadema 2005 - 2014
View attachment 1928629View attachment 1928630

Wacha niendelee na kazi mie. Kituo kinachofuata Zomba
Ukiona bwege anaandika jambo lilelile kwenye kila uzi unapaswa kumpuuza
 
Wana bodi,

NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?. Nafikiri tuki tafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.

Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
Wakati wa Bwana ndio wakati sahihi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿฝ
Ukiona bwege anaandika jambo lilelile kwenye kila uzi unapaswa kumpuuza
 
Wakikosa hoja wanatukana kweli vituko haviishi

Hawana haya hawa watu.....
Yaani aibu kwao ni mwiko! Sijui walilishwa nini huko๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Yaani mimi kweli umporomoshee fisadi maneno yote yale halafu baadae uje ununuliwe nae na zilezile pesa za kifisadi

Watanzania sio mabwege kama nyie
 
Back
Top Bottom