warembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. min -me

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maoni yangu binafsi kwa warembo wa jf😅

    Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅 Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu...
  2. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kwa nini sisi wanaume tunaofanya kazi taasisi zenye majina makubwa tunashobokewa sana na warembo?

    Nikisema taasisi zenye majina,namaanisha taasisi hizi. 1.ikulu 2.BOT 3.Ewura 4.Naot 5.Tanesco 6.Bunge 7.Balozi mbalimbali 8.Tpdc 9.wizara ya fedha 10.Tcc 11.Tbl 12.Tanapa 13.coca cola 14.Serengeti breweries 15.kilombero sugar Na nyinginenza aina hiyo. Ni kwa nini warehouses wanatushobokea...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wazuri na warembo penzi lao huangukia kwa watu wa shoka?

    Nimejiuliza sana juu ya hili bila kupata majawabu hebu tujuzane hapa!,wazee wa shoka huwamega watoto wakali sana,au kwa sababu hawana kuremba remba na ubishoo mwingi?🧐🧐😃
  4. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo navyo imagine warembo wa JF walivyo. Heshima na taadhima zimezingatiwa na hakuna kejeli.

    ShesRise_1 ni mweupe, mrefu ila hana makebo makubwq win-one ni mweusi mng'ao, mnene kiasi, sio mrefu, sio mfupi Seran ana nyoa hasuki, ni mweupe kiasi, hana makebo makubwa ila kiasi Mallerina ana penda sana kuvaa mawigi, ni mtu mwwnye shepu yake yaani big keboz, maji ya kunde, sio mrefu, sio...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Warembo wa JF msichukulie poa nyuzi mnazoanzishiwa wengine tuko seriously

    Nashqngazwa na hawa warembo wa Jf, wanamashauzi kinoma ujue mpaka mtu amekufungulia ni kwamba kavutiwa kutoka moyoni kwasababu "The true love come from unknown" Ebu fikiria yaani Jf yote hii mtu kakuchagua wewe tu huoni hiyo ni bahati ya mtende. Sasa basi kuanzia leo tukiwaandikia nyuzi hapa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

    Mimi niliishia kuliwaziwa tu mara oh one day yes................Sasa kwa wale wenzangu na mimi mnaovutiwa na warembo na kuwaanzishia nyuzi mshawahi fanikisha chochote?
  7. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kuna wadada wazuri, kuna wadada warembo ila pia kuna wadada walio naturally sexy

    Kuna aina fulani ya wadada wachache mno ambao ni kama uwepo wao una nguvu supernatural ya kuweza kubadirisha energy mahali atakapo fika. Ni aina ya wadada ambao wana amplify lust ya mwanaume yoyote yule. Wana aura ambayo huivuta tamaa ya mwanaume kupanda kisuri Wana force ndani yao ambayo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wadada warembo ma single mpo kweli humu ?

    wakuu kwema ? Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer Ninajua kupika, kufua vizuri 🙏
  9. venchwa

    JamiiForums Tanzania Mambo yameanza huku nianze kukera watu karibu tunywe kuna warembo kama wote yani

    Yaan leo aliyekaa nyuma yangu hapa ni Yale mambo Nataka Mimi nyama nyingiiiiiii mchuzi kwa mbaaaaliiii Toto limeshanijoin ***** linaagiza tu now ni 340$ kabisa Dadek
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna jamii yenye wanawake warembo zaidi ya wanawake wenye asili ya Africa?

    Ebony queens👑
  11. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina Wanawake Wazuri na Warembo. Nimethibitisha

    Salamu na salamu za muda huu ni mimi kwa mara nyingine niliye mdogo kuliko ila ni mwingi wa hekima, busara, ucheshi wa faida na maarifa yaliyo mema ninawasalimu na kuwaandikia wakuu. Itikieni mmeisikia salamu. Ngoja nitembelee moja kwa moja kwenye mada km ilivyo ada km ambavyo kichwa cha mada...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza hivi karibuni ukienda upande wa photos hautokuta uzi wa warembo wa kali ukitrend namba 1 kama zamani.

    Hii shift sio ya kawaida, There is a depeer meaning.
  14. Stability

    JamiiForums Tanzania Duh! Warembo mmefunga PM

    Kila mrembo ukigusa ni komeo na kufuli, mwaka huu tutakoma
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa 2018: Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika ujasusi wao

    Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/**** Nawarudisha nyuma Kidogo Tuna sababu za kuilinda nchi yetu, Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake warembo wengi ukimuuliza nikufungulie biashara gani lazima katika biashara hizi 4 ukosi kuambiwa moja wapo

    Sijawahi kusikia mwanamke mrembo kusikia akiniambia kuwa anapenda kufunguliwa duka la vifaa vya ujenzi zaidi ya kuambiwa 1.duka la nguo. 2.duka la kuuza vipodozi. 3.Mini pub. 4.Saloon. Huu ni utafiti nikiwa kwenye usumbufu wa michepuko.
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Janga la P.I.D linatesa sana wadada sasa hivi, poleni sana Warembo

    Ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, kwa kawaida huhusisha uterasi, mirija ya uzazi, au ovari. Mara nyingi husababishwa na bakteria ya zinaa, bakteria wengine, UTI iliokomaa na complications wakati wa kuzaa. Wadada wengi wanalia sana na hii issue kwa maana wengi wao wanakuja...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Warembo kuvuta bangi imetokea wapi?

    Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi? Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na hawa warembo wa 30+ wanaoandika nyuzi za kutafuta mabwana kuanzia 48+

    Ila wadada wajanja sana🤣🤣 Yami mtu kazunguka weeeeee miaka yote hio sasa anatafuta mzee wa kwenda kupumzikia, pia anajua katika umri huu ndipo mwanaume anapoelekea kuishiwa guvu na maybe kufariki baada ya kumlisha mafuta mafuta mengi apate ugonjwa wa moyo adanje, arithi mali za bwana yule. Na...
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Rai huru:: Warembo pendeni kula mlo wenye ndizi mtanishukuru baadae

    Baada ya miaka mingi ya utafiti nimegundua vitabu vya hawa wanaopenda kula ndizi vinalainika na kufunguka mapema tena bila shida na maandishi husomeka kwa uzuri sana ukilinganisha na hawa wenzao wasiotumia ndizi. Kuna vitabu unakuta kurasa zake ni kavu kama kaukau inakuwa mtihani sana kufungua...
Back
Top Bottom