misafara ya viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Wananchi wa Korogwe tunakereka kusimamishwa muda mrefu barabarani ili kupisha misafara ya viongozi wa Siasa, hii sio sawa

    Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni). Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi. Mara nyingi tu shughuli...
  2. B

    Misafara ya viongozi ni mzigo kwa wananchi

    Tumezowea kuyaona haya Nigeria: Kumbe na kwetu napo hali ingali ni hiyo hiyo. Umeme wa uhakika tuupate wapi sisi kama haba na haba tungali hatujui hujaza vibaba?
  3. J

    Utaratibu wa kuzuia magari kwenye misafara ya viongozi ubadilike

    Leo sijui kiongozi gani alikuwa na ziara ipi mi sijui lakini kile kitendo cha kuwekwa saa mzima Ubungo pale tunasubiri mtu mmoja apite ni kaushamba sana. VIONGOZI hawaoni kwamba hii ni kero kwa wananchi, wewe hayo unayoyafanya ndio yanakupa ulaji, pengine hata usipofanya ziara mshahara utapata...
  4. Allen Kilewella

    Viongozi wa kisiasa msitake sifa kwenye mambo ya Usalama kwa misafara ya viongozi!!

    Kuratibu na kulinda misafara ya viongozi si jambo jepesi kama watu wengi wanavyodhani. Kuwa na mazingira wezeshi ya kulinda misafara hiyo pia si jambo la Polimi lai!! Naona watu wengi pamoja na wanasiasa wenyewe wanachanganya kati ya kuwa na misafara mirefu na muda unaotumika kupitisha...
  5. D

    Sekeseke la Misafara ya Viongozi ni kero ya kudumu. Hongera Dkt. Mpango kwa kulitambua

    Habari Siku moja nilikuwa namgonjwa natokea Kahama, Ikabidi tuondoke mapema ili kuwahi dar es salaam mhimbili! Tulipofika maeneo misigiri singida tukawekwa kando kupisha msafara. Tumekaa nusu saa kimya hakuna kiongozi aliyepita! Nikaona bora nisogee kidogokidogo kupitia rafu road (njia ya...
  6. benzemah

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
  7. peno hasegawa

    Mbunge ahoji kuhusu misafara ya viongozi

    Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala ameshauri mamlaka zinazosimamia misafara ya viongozi, kuwasiliana ili kupunguza muda wa watu kusimama njiani wakati wakiwasubiri wapite. Mbunge huyo ameyasema leo Aprili 12,2023 wakati akichangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato...
  8. Unknown philosopher

    Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita?

    Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita hii leo niko eneo la songwe airport ili kusubiri waziri mkuu apite hii imekaaje wana Jamiiforums. Tunekaa almost 2 hrs kusubir na bado hajapita, huu ni kujifanya Mungu mtu na yeye pia jambo hili analifurahia; huu ni utumwa...
  9. X

    Hii misafara ya viongozi imekuwa kero sasa

    Kuna haja serikali itafute njia mbadala ya kusafirisha viongozi maana ishakuwa adhabu kwa raia wengine hasa kwa Dar. Leo kwa watumiaji wa Pugu Road kuanzia Vingunguti mpaka Airport watakuwa mashuhuda wa hili. Barabara za Vingunguti kwenda kwa Mnyamani na ya Majumba Sita kwenda Kinyerezi zote...
  10. Mzalendo2015

    Kufuatia vifo watu 14 wakiwemo waandishi 6, Rais toa maelekezo misafara ya viongozi

    Kwa heshima na taadhima namwomba Mhe. Rais SSH atoe maelekezo kuhusu misafara ya viongozi wa Serikali kupunguza au kuepusha ajali zisizo za lazima. Hakuna ulazima wa Waziri, RC au DC kuwa na msururu wa magari na mrundikano wa waandishi wa habari kwene gari moja. Waandishi aidha waqe na private...
  11. Linguistic

    Misafara ya viongozi wa Serikali ni manyanyaso kwa watumia barabara

    Wakuu niko njiani nasafiri na bus la Shabiby kuelekea Dodoma, tumesimamishwa hapa eneo la ubena kupisha msafara wa kiongozi wa serikali zaidi ya masaa mawili sasa tumesimamishwa. Je, ni halali watu kusimama hivi barabarani muda mrefu bila huruma kisa mtu mmoja anapita kuelekea Dar? kwa nini...
Back
Top Bottom