mimba za utotoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Rais Samia: Mimba za utotoni zimeongezeka Dar

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika Mikoa ya Dar es salaam, Njombe na Ruvuma viwango vya mimba za utotoni vimeongezeka, huku mapambano ya kupunguza idadi ya mimba hizo yakirudi nyuma ambapo amewataka Wazazi waendelee kuwalinda Watoto wetu dhidi ya mimba za utotoni. Rais...
  2. BLACK MOVEMENT

    SoC03 Kumaliza tatizo la mimba na ndoa za utotoni tuondoe Umasikini kwanza

    Tuondoea umasikini wa Vipato ili kumaliza tatizo la Ndoa za utotoni na wanafunzi kupewa Mimba. Ukijaribu Kusoma Historia ya wazungu hasa maisha yao ya miaka ya 1800 huko hadi 1930 huko utagundua kwamba haya yanayo tokea huku kwetu sasa pia na kwao yalikuwepo, Wazungu walikuwa na Ndoa za...
  3. Roving Journalist

    Waziri wa Afya: Mimba za utotoni zimepungua kutoka asilimia 27 ya mwaka 2015/16 hadi asilimia 22 kwa mwaka 2022

    SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAMWA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO. Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika kupambana na kutoa elimu juu ya masuala ya Afya ya Uzazi Mama na...
  4. digba sowey

    SoC03 Huu ndio mwarobaini (Suluhu) dhidi ya mimba kwa watoto wa kike mashuleni na majumbani

    Karibuni katika kuchangia mawazo ili kuweza kupata mbinu zitakazo wezesha kumnusuru mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni na ukatili wa kingono,mara nyingi naweza sema kuwa serikali imekuwa nyuma sana katika kuhakikisha kuwa inazuia na inaweka mazingira ambayo mtoto wa kike anakuwa katika...
  5. Sildenafil Citrate

    Manyara: Mchimba madini mbaroni kwa tuhuma za kumpa mimba mwanafunzi

    Mchimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Erick Peter (36) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tanzanite wa kidato cha nne. Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga akizungumza leo...
  6. JanguKamaJangu

    Mbunge: Serikali iwekeze katika elimu badala ya mabweni ili kukwepa mimba za utotoni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga ameitaka Serikali kuongeza nguvu ya kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza tatizo la mimba za utotoni huku akieleza moja ya sababu ni wanafunzi kufuata shule mbali na makazi yao. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
  7. Shadow7

    Nini kifanyike kumaliza tatizo la mimba za utotoni?

    Great thinkers, Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
  8. peno hasegawa

    Shinyanga: Aliyetuhumiwa kumbaka na kumpa mimba mwanaye wa kambo atoroka baada ya kupewa dhamana

    Kanda ya ziwa, kumeibuka ubakaji wa watoto wa kike. Hali hii imekidhiri na ina usiri mkubwa na serikali ngazi mkoa, wilaya na kata zimepiga kimya. Rais sikiliza habari hii hapo ni shinyanga mjini, huko vijijini Hali Sio shwari
  9. M

    SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  10. Replica

    Morogoro: Watoto zaidi ya 1200 wapatiwa ujauzito ndani ya mwaka mmoja

    Afisa Ustawi wa Jamii mkoani Morogoro, Jesca Kamugela amesema Matukio ya mimba na ndoa za utotoni yamezidi kuongezeka katika mkoa huo ambapo katika kipindi cha mwaka mmoja 2020/21 ya watoto 1,277 wamepata ujauzito kulingana na matukio yaliyoripotiwa. Halmashauri zote za Morogoro zimekuwa...
  11. Uchumi wa Mifugo

    SoC01 Mimba za utotoni ni "kaburi" la ustawi wa Watoto wa Kike nchini

    Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
  12. Ben Zen Tarot

    Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo. Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
  13. Wiwachu

    Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

    Wakuu, Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada tuambiene ukweli. Hivi wewe huwa unatumia condom? Kama ndio ni kwanini na kama sio ni kwanini? Mimi situmii kwa kuwa huwa zinaniwasha, halafu nikitumia huwa naona kama nimeibiwa pesa zangu yaani naona kama nimefanya condom na sio mwanamke. Wewe...
Back
Top Bottom