hakainde hichilema

Hakainde Hichilema (born 4 June 1962) is a Zambian businessman and politician who has been President of the United Party for National Development, an opposition political party, since 2006.
He is a perennial presidential candidate, having contested five times and lost all: in 2006, 2008, 2011, 2015 and 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. USSR

    Zambia: Rais Hichilema aagiza magari ya kifahari yauzwe ili kulinda uchumi wa nchi

    Rais Hichelema ameagiza magari yote ya kifahari nchi humo yauzwe ili kulinda uchumi na kuwataka viongozi waishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine huku wakikabiliana na hali ngumu ya uchumi. Hawa ndio wako serious kuendana na hali ya uchumi wa dunia wameamua na kutenda, magari haya ni...
  2. Lanlady

    Hakainde Hichilema!

    This is the kind of the leader I admire! The one who needs people's views towards development and not based on people's statuses(level of education, family status, personalities etc) . What matters is people perception, plans, strategies and techniques on how to make changes! Na sisi je, lini...
  3. Yoda

    Hakainde Hichilema kama hatakengeuka na kubadilika atakuwa Rais bora wa karne

    Kama hatalevywa na madaraka akakengeuka na kubadilika kuelekea upande hasi basi atakuwa Rais bora wa karne ya 21. Hakainde Hichilema(HH)
  4. MURUSI

    Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

    Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali. Hichilema amehoji “Kwanini...
  5. GENTAMYCINE

    Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

    Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani. Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii. Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
  6. Ze Bulldozer

    Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

    Rais Hakainde Hichilema kutoka Zambia na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka Tanzania ndio marais pekee kutoka Africa wanaokwenda ng'ambo kwa kutumia ndege za abiria|Umma. Rais Samia Suluhu wa Tanzania pamoja na kuwa na ndege mpya 11 zikiwemo zenye uwezo wa kuruka moja kwa moja kwa zaidi ya masaa...
  7. Replica

    IGP wa Zambia ashindwa kumaliza kiapo kwa kutetemeka, nawaza angekuwa hayati Magufuli

    Nchi ya Zambia baada ya mabadiliko ya chama tawala na Rais, wameamua kulifumua Jeshi la Polisi ikiwa ni kutekeleza ahadi ya Rais wakati akiomba kura. Katika hali ya kustaajabisha, IGP Remmy Kajoba alishindwa kumaliza kiapo baada ya mtetemo kuzidi wakati akiapa. Rais Hakainde Hichilema alitoa...
  8. beth

    Hakainde Hichilema aapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia

    Hakainde Hichilema ameapishwa kuwa Rais wa Taifa hilo katika sherehe ambayo imehudhuriwa ya maelfu ya watu Jijini Lusaka. Anakuwa Rais wa 7 kuongoza Taifa hilo baada ya kumshinda Edgar Lungu katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 12, 2021 Uapisho wake umehudhuriwa na Marais wa Nchi mbalimbali...
  9. The Sheriff

    Rais Edgar Lungu awaaga Wazambia wakati Hakainde Hichilema akienda kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia, leo Agosti 24 2021

    Ikiwa leo ndiyo siku anayoapishwa Hakainde Hichilema kuwa Rais wa 7 wa Zambia, Edgar Lungu kupitia mitandao ya kijamii (hii imetoka ukurasa wake wa Instagram) amewaaga wananchi wa Zambia na kumtakia kila la kheri Bw. Hichilema. Chini ni tafsiri ya andiko lake katika lugha ya Kiswahili...
  10. Father of All

    This is Hakainde Hichilema and where he came from

    This video speaks for itself about our man Hakainde Hichilema Zambian President-Elect. Will he deliver on his promises. It is upon the Zambians to decide. However, we still can learn something from this man.
  11. Lord OSAGYEFO

    TBC Tanzania badilikeni, hiyo ni televisheni ya taifa -- vyama vyote vina haki sawa

    Rais mteule Hakainde Hichilema. Jana Amelihutubia Taifa na kusema Yafuatayo [emoji117]TV ya TAIFA haikuonyesha MIKUTANO ya UPINZANI [emoji117]Msipoyaonyesha Watazamaji Watapungua [emoji117]Watazamaji Wakipungua hamtapata Matangazo [emoji117]Mkikosa Matangazo Mtakufa na Mtafunga [emoji117]Mwisho...
  12. S

    Rais Samia amemtumia pongezi Rais Mteule wa Zambia, Hakainde Hichilema

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wananchi wa Tanzania amemtumia pongezi Rais mteule wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema na kumuahidi ushirikiano. Naye Rais MTEULE Mheshimiwa Hakainde amezipokea pongezi hizo na kumshikuru Rais Samia huku...
  13. Stephano Mgendanyi

    RAIS MTEULE WA ZAMBIA NI HAKAINDE HICHILEMA

    RAIS MTEULE WA ZAMBIA NI HAKAINDE HICHILEMA Uchaguzi Zambia 2021: Rais Edgar Lungu akubali kushindwa MANENO YA SEHEMU YA HOTUBA YAKE KAMA RAIS MTEULE Nataka tuonyeshe tofauti kati Yetu na wao Nilikamatwa mara 15 na kuwekwa ndani. Nilipigwa mabomu Habari za mikutano Yangu hazikutangazwa na...
  14. Q

    Kama Mbowe, Rais mteule wa Zambia Hichelema aliwahi kufunguliwa mashitaka ya Ugaidi

    Mwaka 2017 Kiongozi wa upinzani nchini Zambia (UPND) Hakainde Hichilema na wafuasi wake watano waliwahi kushitakiwa kwa makosa ya ugaidi kufuatia madai kuwa msafara wao ulizuia msafara wa rais Edgar Lungu, na hivyo kuyaweka maisha ya rais hatarini. Baadaye mastaka hayo yaligeuzwa kuwa ya Uhaini...
  15. mkulima gwakikolo

    Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

    Usiku wa leo mda wa saa 0200, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nchi hiyo amtangaza Mpinzani wa Chama cha UNDP kuwa Rais wa nchi baada ya kushinda Kwa kura 2.8m akimuacha Rais Edga Lungu wa PF kwa kura kama 1M. VivA Zambia! ====== Hichilema is popularly referred to by his initials 'HH' or...
  16. R

    Waafrika wamelaaniwa: Hichilema utafanya yaleyale ya Lungu ya kuonea Wapinzani

    Ni wazi mgombea wa upinzani nchini Zambia atatangazwa mshindi. My concern is: Historia inatukumbusha kuwa Hichilema aliwekwa ndani na Lungu kwa kumpa kesi ya kumbambikia ya Uhaini. Mahakama ikamweka huru. Kwa akili za Waafrika tulivyolaaniwa, huyu mteule Hichilema atafanya hayo hayo kwa...
  17. beth

    Uchaguzi Mkuu Zambia: Mpinzani Hakainde Hichilema aongoza katika Majimbo 15

    Matokeo ya Awali yaliyotangazwa na Tume inayosimamia Uchaguzi Nchini humo mapema leo yameonesha Mpinzani Hakainde Hichilema anaongoza kwa Kura Amepata Kura 171,604 huku Edgar Lungu anayetetea nafasi ya Urais akipata Kura 110,178. Matokeo hayo yanajumuisha Majimbo 15 kati ya 156 yaliyopo Nchini...
Back
Top Bottom