Hakainde Hichilema kama hatakengeuka na kubadilika atakuwa Rais bora wa karne

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,881
46,629
Kama hatalevywa na madaraka akakengeuka na kubadilika kuelekea upande hasi basi atakuwa Rais bora wa karne ya 21.
Hakainde Hichilema(HH)
Screenshot_20220819-180552_Twitter.jpg
 
Nawaonea wivu wa zambia. Wamepata kiongozi wa kujivunia.
Kama sisi hapo miaka michache iliyopita kabla mambo hayajakwenda mrama.
 
Kama hatalevywa na madaraka akakengeuka na kubadilika kuelekea upande hasi basi atakuwa Rais bora wa karne ya 21.
Hakainde Hichilema(HH)View attachment 2328684
HUYU JAMAA NI MTU WA MITANDAO SANA HANA TOFAUTI NA DONALD TRUMP MARAIS WA TWITTER.

# Aache kupiga makelele mitandaoni afanye kazi wazambia hawajamuajiri ili aje apige makelele Twitter afanye kazi na sio kuwa mwana twitter.
 
Back
Top Bottom