GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,876
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.
Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.
Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu wa Kizalendo kabisa kama alionao huyu Rais wa Zambia?
Kuna Mmoja tu ninamjua asingekubali.