TBC Tanzania badilikeni, hiyo ni televisheni ya taifa -- vyama vyote vina haki sawa

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Rais mteule Hakainde Hichilema. Jana Amelihutubia Taifa na kusema Yafuatayo

TV ya TAIFA haikuonyesha MIKUTANO ya UPINZANI
Msipoyaonyesha Watazamaji Watapungua
Watazamaji Wakipungua hamtapata Matangazo
Mkikosa Matangazo Mtakufa na Mtafunga
Mwisho Akawaomba Wafuasi Wake WASILIPE VISASI

TBC Tanzania BADILIKENI hiyo ni TELEVISHENI ya TAIFA VYAMA vyote Vina HAKI Sawa kwani Wanachama na Wafuasi Wao WANALIPA KODI KODI hailipwi na Wanachama na Wafuasi wa CCM tu
TBC BADILIKENI

Hongera sana Rais Mteule kwa UJUMBE

1629187170288.jpg
 
Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria lakini wamefanikisha malengo yao!

Upinzani Zambia umeshinda bila ya katiba mpya!

Lisu na machadema mna la kujifunza!
 
TBC isingekuwa inapata ruzuku kutoka serikalini,ingekuwa imeshajifia!
Kama TBC wangekuwa wanalipwa kutokana na kufanya kazi bc watu wote wangependa kuangalia TBC, pia pasingekuwa na kulalamikiwa, leo hii mtu ukimkuta anaangalia tbc bc ujue hana kifurushi.

Ikitokea upinzani kupata nchi bc wafanyakazi wote wa TBC hawana kazi
 
Najua wewe siyo CCM ila napenda kusema kuwa CCM ni wajinga sana. Eti wanafikiri katiba mpya ni kwa ajili ya chama fulani kushinda uchaguzi!! Katiba mpya ni ya wananchi. Tume ya Waryoba ilikusanya maoni ya wananchi 2015. Hiyo haikuwa kwa ajili ya chama fulani kushinda uchaguzi.
Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria lakini wamefanikisha malengo yao!

Upinzani Zambia umeshinda bila ya katiba mpya!

Lisu na machadema mna la kujifunza!
 
Najua wewe siyo CCM ila napenda kusema kuwa CCM ni wajinga sana. Eti wanafikiri katiba mpya ni kwa ajili ya chama fulani kushinda uchaguzi!! Katiba mpya ni ya wananchi. Tume ya Waryoba ilikusanya maoni ya wananchi 2015. Hiyo haikuwa kwa ajili ya chama fulani kushinda uchaguzi.
Hayo ndo mawazo ya viongozi na wanachama wanao faidi huko CCM.

Mbaya zaidi viongizi wote wa vyombo vya dola nao wapo hivyo hivyo. Hivyo hofu imewajaa.

Wapotayari kutoa roho watu, ilimradi hoja hii isije kupata nguvu miongoni mwa wananchi.

Mtu anayetaka katiba mpya wanamchukia kuliko Jambazi anaye pora watu mali na hela zao kwa bunduki.
 
Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria lakini wamefanikisha malengo yao!

Upinzani Zambia umeshinda bila ya katiba mpya!

Lisu na machadema mna la kujifunza!
Ndio maoni na mtazamo wako binafsi nauheshimu.
 
Ndio machadema yanvyofikri mkuu!

Yani ukiyauliza mnataka katiba mpya ili iweje? Yanakwambia ili kushinda urais
ucngzie chadema, nyie ccm ndo mnajua hvyo kuwa katiba mpya ikipatikana basi upinzani wanachukua nchi na ndo maana hamuitaki hata kuickia
 
Hiyo ni sawa na mgonjwa aliyekata kauli kumnunulia chipsi kuku.
 
Back
Top Bottom