Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo: Tushirikiane tulete maendeleo, tuache alama ya kudumu Korogwe

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945
DC JOKATE MWEGELO - TUSHIRIKIANE TULETE MAENDELEO, TUACHE ALAMA YA KUDUMU KOROGWE

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameshiriki Siku ya Wnawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 Ulimwenguni kote ikiwa na Kauli Mbiu: "Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia, Chachu Katika Kuleta Usawa wa Kijinsia"

Katika hotuba yake, Mhe. Jokate amewaomba wanawake wa Wilaya ya Korogwe ushirikiano katika kuleta maendeleo ili kuacha alama ya kudumu Korogwe kwa umoja wao. DC Jokate amewashukuru wamama wa Korogwe kwa maandalizi na makaribisho katika Siku ya Wanawake Duniani.

DC Mwegelo amewapongeza wanawake wa Korogwe kwa kuchangisha fedha kwa ajili ya akina Mama na Watoto ndani ya Wilaya ya Korogwe ili ziwasaidie katika mahitaji mbalimbali ya kijamii.

WhatsApp Image 2023-03-09 at 12.53.00.jpeg

WhatsApp Image 2023-03-09 at 12.53.00(1).jpeg

WhatsApp Image 2023-03-09 at 12.52.59.jpeg

WhatsApp Image 2023-03-09 at 12.53.00(2).jpeg
 
Back
Top Bottom