sport

  1. upupu255

    JamiiForums Tanzania FALSE Is it true that Court of Arbitration for Sport crowns Senegal African Champion 2025?

  2. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Link gani nje ya fawa news naweza kuzipata chanel za azam sport ?free website ama app

    Naomba kwa mwenye kujua free website nazoweza kupata chanel za azam sport ama app
  3. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Je, kuogelea ni sport tu… au ni skill ya maisha inayoweza kuokoa maisha?

    🏊‍♂️🌊 JE, KUOGELEA NI SPORT TU… AU NI SKILL YA MAISHA INAYOWEZA KUOKOA MAISHA? 🤯🔥 Watu wengi hupenda kuogelea kwa ajili ya burudani, fitness, au relaxation. Lakini ukweli ni kwamba kuogelea ni moja ya skills muhimu zaidi ambazo binadamu anaweza kujifunza. Mbali na afya ya mwili, kuogelea...
  4. E

    JamiiForums Tanzania ANDROID BOX TV STREAMING DEVICE (MOVIE & SPORT) NK....

    kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo maana me hapa napata shida moja nikitaka kuplay movies inafunnguka kabisa na unaona ila kuna background ya...
  5. SPORTS BUSINESS

    JamiiForums Tanzania Sport Shoes

    Nakiuza kwa bei ya kutupa ukiwa na elf50 nakupatia napatikana tabata ya kinyerezi mawasiliano ni 0672266912
  6. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Blind sport mirror bei poa kabisa

    🚗 KIOO CHA ZIADA CHA GARI (BLIND SPOT MIRROR) 🚗 🔹 Ongeza usalama wako barabarani 🔹 Ona blind spot wakati wa kubadilisha njia & kurudi nyuma (reversing) ✅ Hurekebishwa kwa pembe tofauti ✅ Muundo imara wa ABS outer frame ✅ Husaidia parking kwa urahisi ✅ Rahisi kufunga – hakuna uharibifu ✅ Inafaa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa vifurushi vya DSTV vilivyo na mechi za UEFA

    Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo Kwa sasa ni bei gani ili niangalime timu yangu ya PSG wiki ijayo?
  8. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TOYOTA IST yenye sport rim za kuombea mkopo inauzwa

    Bei/Price TSH 16.8M Call+255 747 999 927 TOYOTA iSt Year: 2002 Engine: 1,490Cc Mileage: 99,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  9. Brown B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TOYOTA RAV4 SPORT GW OLD #DG

    TOYOTA RAV4 OLD 1999 Engine CC 1990 123,000km Petrol Automatic Sports rims Full documents Price Tsh 10.5m ☎+255626682228
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Miji ya Tanzania haina open space, public garden, sport centre inasikitisha sana

    Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space...
  11. Sema kama nenga

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi Afrika

    Nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi afrika ni 1. South afrika - 83% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 2. Kenya - 79% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 3. Tanzania - 74% ya maafisa ubashiri wanapeleka moto. 4. Nigeria - 73% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 5. Uganda -...
  12. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania Yanga kumenyana na Rayon Sport June 15

    Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo. Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda. Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Haya ndo mafanikio ya Simba Sports Club mpaka sasa

    Simba Sports Club imekuwa na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, ikijidhihirisha kama moja ya vilabu bora zaidi barani Afrika na Tanzania. 🏆 Mafanikio ya Kimataifa – CAF Confederation Cup 2024/2025 Simba SC imefuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF kwa mara ya pili katika...
  14. B

    JamiiForums Tanzania The bigwigs in early payouts are the talk of the town in betting

    In Sport betting, early payouts mean a bookmaker settles your bet as a win before the event is officially over—usually because your selection is in a strong position. For example: In football, if your team goes 2 goals up, the bookmaker might pay your bet out early, even if the game isn’t...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Natangaza kuhama Kwa muda jamii sport

    Nimeamua kuhamia jukwaa la siasa Sasa Napumzika ubishi wa Simba na Yanga Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa Tujadili uchaguzi na maendeleo ya Taifa letu Tujadili rasimali zetu zinazopotea midomoni mwa mbwa mwitu Mijadala ya...
  16. M.Rutabo

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

    Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda zidi ya Ac Milan Dortimund naye nika mpa kusinda na Man City nikampa kushinda. Sasa hadi kipindi...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Hizi channel za Azam sport HD zimepotelea wapi?

    Habari za muda huu, wakuu tokea tarehe 1/8/2024 kwenye tv yangu hazionyeshi kabisa channels hizi Azam sport 1 HD, Sport 2 HD, na hata sport 3 HD. Zipo ila zinaonyesha kama sijalipa wakati nimelipa package tayari. Na nimejaribu kuwapigia Azam customers call center wahapatikani kabisa. Tatizo...
  18. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Kama ni Mpenzi wa Basket Ball,Angalia super sport 3.Bonge la game USA Vs South Sudan-Olympics in Paris

    Ni game Kali Wote wanamiili mikubwa na warefu. Enjoy the game
  19. D

    JamiiForums Tanzania Sofyan Amrabat ndani ya simba sc. 😂😂

    kazini kwa Mzamiru kuna kazi 😂😂😂😂 simba wamejipata #chekakisport
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
Back
Top Bottom