Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
miaka 30 x siku 365 = siku 10,950
Bilioni 1 gawanya kwa siku 10,950 = el 91 kila siku
Hizo ni hesabu za KUKURUPUKA ambazo anaepiga ana kila dalili ya kukosa maarifa kutambua kwamba pesa huwa inapungua thamani kadri muda unavyoenda (time value of money) hasa kwa mifumuko ya bei,
shilingi 50 ya miaka 20 iliyopita tulitumia kama nauli ya kwenda na kurudi lakini si kwa sasa, ni pesa ya kununulia pipi kifua moja tu.
Ili walau uweze kutumia bilioni 1 kwa miaka 30 basi kuanzia sasa itabidi ujibane matumizi yako yawe laki 6 kwa mwezi, ukizidisha hapo waweza kunyooshwa miaka ya mbele
Tegemea kwamba pesa hio itafubazwa thamani yake kadri muda unavyokwenda.
Kama ikitumika kwa kula kawaida na kununua vinguo, uhakika wa kutoboa miaka 30 upo lakini ukianza mambo ya kula hotelni, kutumia gari zinazotumia mafuta mengi badala ya ist, kunywa heinken badala ya balimi, kusafiri kwa ndege badala ya mabasi, n.k, hio ni pesa hufiki nayo mbali