Watatu wafikishwa Mahakamani kwa kuisababishia TRA Hasara ya Tsh. Bilioni 1

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Watu 3 akiwemo Emmanuel Nkalang’ano ambaye ni Mkurungenzi wa Wintech (T) Ltd, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashtaka 4 ikiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya Tsh. Bil. 1.

Wengine ni Rugainunula Lwekamwa na Mwita Nyakiha ambao kwa pamoja wanashtakiwa kwa Makosa ya Uhujumu Uchumi Ikiwemo kuongoza Genge la Uhalifu, Kutoa Risiti za Uongo, Kupotosha Mfumo na Utakatishaji Fedha.

Mahakama imeelezwa kuwa kati ya Agosti 2022 na Agosti 2023, washtakiwa wakiwa eneo la Kariakoo, Ilala, mkoani Dar es Salaam, walipanga njama za uhalifu kwa kutoa Risiti za Uongo kwa nia ya kujipatia faida.
 
Kuelekea uchaguzi tutaona haya mavitu kila kona.

TRA inachokifanya ni kucheza na akili zetu
 
Watu 3 akiwemo Emmanuel Nkalang’ano ambaye ni Mkurungenzi wa Wintech (T) Ltd, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashtaka 4 ikiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya Tsh. Bil. 1.

Wengine ni Rugainunula Lwekamwa na Mwita Nyakiha ambao kwa pamoja wanashtakiwa kwa Makosa ya Uhujumu Uchumi Ikiwemo kuongoza Genge la Uhalifu, Kutoa Risiti za Uongo, Kupotosha Mfumo na Utakatishaji Fedha.

Mahakama imeelezwa kuwa kati ya Agosti 2022 na Agosti 2023, washtakiwa wakiwa eneo la Kariakoo, Ilala, mkoani Dar es Salaam, walipanga njama za uhalifu kwa kutoa Risiti za Uongo kwa nia ya kujipatia faida.
Kwann ni wakristo tupu
 
Inawezekana kosa lao ni kukwepa kutoa chai tu
 
Back
Top Bottom