afrika magharibi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na njaa kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula

    Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula duniani WFP, Shirika la kuhudumia watoto UNICEF na lile la Chakula na Kilimo, imesema kuwa...
  2. D

    Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

    Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua Rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa Juzi tena...
  3. S

    Waafrika ni wamoja ushahidi majina ya wachezaji wa Afrika magharibi AFCON

    Nilianza kumsikia Ibrahim Bakayoko akiwa mchezaji wa Ivory Coast akitamba Ulaya miaka kama 18 iliyopita. Nikamsikia Camara akitamba pale Liverpool miaka zaidi ya 22 iliyopita, alikuwa akirudi afrika anachezea timu ya Taifa ya Guinea. Nikamsikia Souleymane Sane akichezea Ivory Coast miaka 30...
  4. Kijana LOGICS

    Wanaume wengi hawatumii logic, wanatumia hisia

    Tuna kizaz cha wanaume wanaopenda kutumia hisia sana instead ya kutumia logics and facts. Unakuta Mwanaume 30+yrs Bado ana stress za mapenzi yupo single hisia zote ziko kwa Wadada mwenye makalio makubwa mwanamke akimkataa tu anakua full stressed blaza tumia logic. Mwanaume anacare sana...
  5. F

    Kuna wimbo wa watu wa Afrika Magharibi nautafuta ulikua wapigwa ITV miaka ya 90

    Kwa wajuzi mtu akiweza kuutambua kwa jinsi ntavyokua najaribu kuufanya aujue kuna elfu 20 yake
  6. Mhaya

    Mali yafuta kabisa Sherehe za Uhuru

    Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo. Nchi ya...
  7. MK254

    Mataifa 11 ya Afrika Magharibi yaandaa yajitolea kupokeza wanajeshi watakaokwenda kuiweka sawa Niger

    Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla...
  8. Webabu

    Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

    Kumekuwepo na fununu za muda mrefu juu ya kuwepo kwa wapiganaji wa kikundi cha Wagner kilichohusishwa na kiongozi wa Urusi,Vladmir Putin.Hii ilikuwa ni kabla hata ya kuanza kwa vita vinavyoendelea sasa baina ya Ukraine na Urusi. Katika kipindi kifupi fununu hizo ziliongezeka baada ya kutokea...
  9. Dr am 4 real PhD

    Eric Djemba Djemba: Mashine kutoka Afrika Magharibi na Siri ya Alex Ferguson kuhusu wachezaji wa Afrika

    Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba. M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21 Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa. Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo. Inasemekana Sir Alex Ferguson...
  10. ITR

    Urusi yaikalia Ufaransa kooni Afrika Magharibi

    Ufaransa kama ilivyo huruka ya nchi za kimagharibi alikuwa anajiona ndo Mungu na mmiliki wa nchi za Africa magharibi. Alikuwa ndo kila kitu ndani ya nchi hizo lakini sasa mambo yana muendea kombo ndani ya nchi hizo, hasa tangu Urusi ijiingize kwenye eneo hilo imevuruga kabisa ushawishi wa...
  11. JanguKamaJangu

    UN: 50% ya dawa eneo la Afrika Magharibi ni feki au hazikidhi viwango

    Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu. Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya magonjwa hatari, pia kudhoofisha mifumo ya afya kwa watumiaji. Kati ya Januari 2017 hadi Disemba...
Back
Top Bottom