Wanaume wengi hawatumii logic, wanatumia hisia

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Tuna kizaz cha wanaume wanaopenda kutumia hisia sana instead ya kutumia logics and facts.

Unakuta Mwanaume 30+yrs Bado ana stress za mapenzi yupo single hisia zote ziko kwa Wadada mwenye makalio makubwa mwanamke akimkataa tu anakua full stressed blaza tumia logic.

Mwanaume anacare sana mwonekano hatak hâta kuvaa suruali ni vibukta tu ili asifiwe na wadada a feel good.

Mwanaume anashinda gym atengeneze sixpack na kifua
I'li afeel good akisifiwa. Na washkaj pamoja na wadada.

Wanaume anakua muoga kuanzisha biashara makampun etc kisa ataumia akipata hasara .Mwanaume jilipue tunajifunza kupitia makosa.

Mwanaume Simba/Yanga inafungwa analia machozi kama Caren wangu wa miaka 4.

Mwanaume Una hisia za simple life tu ukipata challange kidogo tu unawaza kujiua.

Wanaume kufanya mambo kihisia tuwachie wanawake.

Sio makalio ya wadada tu yana ruin your life.
 
Mii ndo nipp hivo...
Sifikilii sana huwa najilipua tuu
Siogopi hasara wala nini..?
Yaani hisia ni F kabisa
 
Tuna kizaz cha wanaume wanaopenda kutumia hisia sana instead ya kutumia logics and facts
Unakuta Mwanaume 30+yrs Bado ana stress za mapenzi ,yupo . single hisia zote ziko kwa Wadada mwenye makalio makubwa mwanamke akimkataa tu anakua full stressed blaza tumia logic

Mwanaume anacare sana mwonekano hatak hâta kuvaa suruali ni vibukta tu ili asifiwe n'a Wadada a feel good

Mwanaume anashinda gym atengeneze sixpack na kifua
I'li afeel good akisifiwa. Na washkaj pamoja na wadada.

Wanaume anakua muoga kuanzisha biashara makampun etc kisa ataumia akipata hasara .Mwanaume jilipue tunajifunza kupitia makosa

Mwanaume Simba/yanga inafungwa analia machozi kama Caren wangu WA miaka 4.

Mwanaume Una hisia za simple life tu ukipata Challange kidogo tu unawaza kujiua.

Wanaume kufanya mambo kihisia tuwachie wanawake.

Sio makalio ya wadada tu yana ruin your life .
Play nakaziaaa
 
Hapo kwenye gym apo sio wote wana enda gym kwajili ya sifa kumbuka wangine hio ni niche

na kuva pens napo umeongea poa lkn lazma useme ameva pens akiwa wapi kama ni kwenye maish ya mta na hakuna ulazma wa suluali sivai mm 😂

Yani Pensi😂
 
Ni ukweli kabisa tena ukwel mchungu na wanaobisha ndio wanaozungumziwa hapa unalikuta libaba la 40yrs linapiga stor ooh nikipata gar kali nitawala kama uyoga huwa najiulizaga unabaki unashangaa serious kbs hiyi miamba haina akili
 
Hapo kwenye gym apo sio wote wana enda gym kwajili ya sifa kumbuka wangine hio ni niche

na kuva pens napo umeongea poa lkn lazma useme ameva pens akiwa wapi kama ni kwenye maish ya mta na hakuna ulazma wa suluali sivai mm 😂

Yani Pensi😂
Nakubal
 
Hivi kitaalam imekaaje hii tabia ya mwanaume kuwachamba wanaume wenzake hadharani!!
 
Back
Top Bottom