MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,654
- 48,432
Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla kuichukua nchi.
Ifahamike utawala wa kijeshi ni wa hovyo sana, maana hauwezi ukakosolewa, wanakalia kibabe na kulazimisha kila kitu na hata kuua watu.
Unakuta hao hao wavaa magwanda, viongozi waandamizi humo ndio mafisadi kupita maelezo na hauwezi kuwasema......
Kunao mnashabikia hili la Niger kisa Putin yupo upande wa wanajeshi, mnadhani mnaikomoa Marekani kama ambavyo huwa mnafanya kidini hususan ya kule Ukraine, ila haisaidii Niger....
========================
Soldiers from 11 West African nations are "ready" to be sent into coup-hit Niger to restore ousted president Mohamed Bazoum, officials have said.
It comes after leaders of the countries agreed to commit troops for a military operation in Niger, led by the Economic Community of West African States (ECOWAS).

Niger coup: West African leaders commit troops for military intervention
ECOWAS commissioner for peace and security, Abdel-Fatau Musah, said at a news conference on Friday that troops were "ready to go".
news.sky.com