waasi

Rusagonis-Waasis (2001 population: 748) is a Canadian local service district in Lincoln Parish, Sunbury County, New Brunswick, which bears the name of two communities within the local service district, Rusagonis and Waasis. Early references use an alternative spelling, Rusagornis, for the community today known as Rusagonis. Some residents advocated changing the governing structure from a local service district into a rural community.It is located 15 kilometres southeast of Fredericton, and is near Tracy. It is west-southwest of Oromocto. It formerly had at least two railway stations (flag stops) served by the Canadian Pacific Railway.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    BBC imeripoti Magari ya jeshi la Tanzania yameshambuliwa na Waasi wa DR Congo

    Magari mawili ya kijeshi ya Tanzania yamepigwa na makombora yaliyorushwa na waasi wa M23 katika mji wa Sake nchini Kongo, walioshuhudia wameiambia BBC. Chanzo cha jeshi la Kongo na shahidi wa macho walisema shambulio hilo lilitokea siku ya Alhamisi, na kumwacha mwanajeshi mmoja wa Tanzania...
  2. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini kupeleka wanajeshi 2,900 DRC kupambana na Waasi

    Afrika Kusini itatuma wanajeshi 2,900, kama sehemu ya mchango wake kwa kikosi cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kinachotarajiwa kukabiliana na makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ofisi ya rais Cyril Ramaphosa, ilisema katika taarifa yake...
  3. Mto Songwe

    Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

    Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe. Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani. Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na...
  4. GENTAMYCINE

    Nilitahadharisha kuhusu CHADEMA na Wabunge 19 kuwa hukumu zitakuwa za kutatanisha

    Hivi ule Uzi wangu GENTAMYCINE niliouandika hapa JamiiForums mapema mwaka huu hamkuuelewa au ni Jeuri na Dharau zenu tu? Nilisema kuwa CHADEMA na Watu wengine acheni Kuhangaika na hii Kesi ya hawa Wabunge wenu Waasi 19 kwani hakuna ambacho Kitabadilika na wataendelea kuwa Wabunge hadi June...
  5. Mhaya

    Mali yafuta kabisa Sherehe za Uhuru

    Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo. Nchi ya...
  6. ChoiceVariable

    Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

    Kijana Mtanzania ametekwa huko Nigeria na watu wenye Silaha. Kijana huyu anayeitwa Melchior ni Mseminary aliyeenda Nigeria kwa ajili ya Mafunzo ya Upadri. Juzi Parokia ya Mt Luka aliyokuwa akiishi ilivamiwa akachukuliwa yeye na Padri Mwingine. ---- Mtanzania ambaye ni frateri wa Shirika a...
  7. HaMachiach

    Wajumbe waasi wa kamati ya utendaji taifa CWT wakimbilia Wizara ya Kazi

    Kama tulivyowaarifu jana tarehe 15 Juni 2023, kimeitishishwa kikao cha baraza la taifa cha dharura jijini Dodoma tarehe 18 Juni 2023 kati ya mengi ambayo yangejadiliwa ni pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji wa taifa kuvunja katiba na kuvuruga uongozi na chama kwa ujumla. Naibu...
  8. MK254

    Waasi wa Urusi wateka wanajeshi Warusi, mambo yanaendela kutokota

    Wanajeshi wa Urusi wameanza kukamatwa mateka na waasi, supapawa hali tete. ======== Fighters opposed to the government in Moscow say they have have captured two Russian soldiers in Belgorod, near the border with Ukraine. Belgorod's top official said he had agreed to meet the men's captors if...
  9. MK254

    Video: Waasi wa Urusi waagiza raia waondoke Belgorod kwa sasa hadi mpambano uishe

    Hawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa..... Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi taifa lao likombolewe.....
  10. MK254

    Video: Waasi wavamia tena Belgorod, Urusi, wachoma majengo

    Hawa ni Warusi wanapiga kwao ndani, Putin alianzisha wenzake wanamaliza.... 30,290 views Jun 1, 2023 #belgorod #ukraine #russia Pro-Ukraine volunteer fighters set several buildings on fire as they shelled the border town of Shebekino using Soviet-era Grad rocket systems, it has been...
  11. Wadiz

    Nionavyo Mimi: Wanawake ni Mashetani na Waasi toka Bustani ya Eden

    Salaam nyote! Kiumbe aliezingua paradiso (bustani ya Eden), kiumbe alieumbwa mwanaume akiwa usingizini, kiumbevaliumbwa sehemu ya mwili ya mwanaume, anawezaje kutetewa na kusemewa chochote? Wanawake ni mashetani yasioshiba, hayajui yalipo, yalipotoka na yanapoendq, akienda kama kabaki, akifikq...
  12. BARD AI

    Ripoti: Waasi wa M23 walibaka wanawake na kuua waume zao DR-Congo

    Taasisi ya #AmnestyInternational imesema zaidi ya Wanawake na Wasichana 66 walifanyiwa Vitendo vya Ukatili ikiwemo Kubakwa katika kijiji cha Kishishe na kuua Wanaume kadhaa Novemba 2022. Kupitia mahojiano waliyofanyiwa baadhi ya Waathirika wa vitendo hivyo wamesema Waasi wa #M23 walivamia...
  13. Messenger RNA

    Shehena ya silaha za Iran zakamatwa na Jeshi la wanamaji la Ufaransa, zilikuwa zikipelekwa kwa waasi wa houth

    Jeshi la ufaransa limekamata shehena ya kutisha ya silaha zilizokuwa zikielekea kwa waasi wa huthi nchini Yemen. ============================ French forces seize shipment of weapons headed from Iran to Yemen Officials say the seizure happened in January, with the weapons set for Yemen’s Houthi...
  14. JanguKamaJangu

    Burkina Faso: Zaidi ya Wanawake 50 watekwa na Waasi

    Matukio hayo yametokea Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo walikamatwa katika makundi mawili nyakati mbili tofauti. Wakati matukio ya utekwaji yanatokea eneo la Arbinda, baadhi ya Wanawake walifanikiwa kutoroka na kurejea katika vijiji vyao. Wanawake wengi wamekuwa wakitembea kimakundi kuingia...
  15. kadeti

    Htimaye waasi wa M23 waamua kuondoka

    Waasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya Richuru uko Goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki, lakini mimi sioni kama hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na M23.
  16. Influenza

    Je, Rwanda kweli inawasaidia M23? Ubelgiji yaitaka Rwanda kuacha kuwaunga mkono waasi hao

    Ubelgiji imeitolea wito nchi ya Rwanda "kusitisha msaada wowote" kwa waasi wa M23 wanaoendelea na mapigano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kubaini kuwa kundi hilo liliwaua raia 131 mwezi uliopita. Wizara ya mambo ya nje ya Ubelgiji ilisema jana...
  17. MK254

    Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

    Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta. Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja. Pia M23 wametuma ujumbe wako...
  18. BARD AI

    Waasi wa M23 waomba kufanya mazungumzo na Uhuru Kenyatta

    Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyatta na Rais wa Angola Joao Lorenco, kutetea malalamiko yao...
  19. 6 Pack

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Inakuaje brothers and sisters, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo ndio siku ya mwisho waliopewa waasi wa Congo ili kusalimisha silaha zao kwa serikali, kinyume na hapo hatua kali za kijeshi zitachukuliwa kwa kundi lolote la waasi ambalo limekaidi amri hiyo. Na oparation hiyo...
  20. BARD AI

    Licha ya vitisho, Waasi wa M23 wamegoma kusitisha mapigano leo

    Tamko hilo linakuja zikisalia saa chache kufika saa 12 jioni ya leo Nov 25, 2022, muda ambao viongozi wa eneo la Kikanda walitoa kwa Waasi hao kusitisha mapigano au wakabiliane na majeshi ya kulinda amani. Msemaji wa M23 Canisius Munyarugerero amesema kundi hilo linapuuza maamuzi yaliyofanyika...
Back
Top Bottom