Search results

  1. B

    Barua ya wazi kwa baadhi ya mabalozi wa nje wanaowakilisha mataifa yao nchini Tanzania

    NINASTAAJABISHWA sana na mwenendo wa kushtusha wa baadhi ya Mabalozi walioko Tanzania kwa kusigina kiwazi wazi maadili ya kazi zao. Tanzania ni nchi yenye upendo mwingi. Watu wake ni wakarimu sana na wanawaamini wageni, ikiwa ni pamoja na Mabalozi wa Mataifa ya kigeni hapa nchini. Mabalozi...
  2. B

    Prof. Mahalu apinga suala la Katiba Mpya

    Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu kutokana na wananchi walio wengi kutokuwa na ufahamu juu ya KATIBA, ambapo alieleza kuwa "Kati ya...
  3. B

    Tusichanganye Dini na Siasa, ni hatari

    Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama vyao? Makanisani watu wataanza kukaa kwa itikadi za vyama na itaibuka mijadala makanisani...
  4. B

    Kwanini Nchi nyingi Duniani zinakataa matumizi ya Chanjo ya AstraZeneca?

    Tangu kuingia kwa Virusi vya Corona wataalamu wa Afya wamepambana kutafuta dawa na chanjo kukabiliana na gonjwa hili hatari bila mafanikio. Hivi karibuni ziligundulika chanjo mbalimbali ikiwemo ASTRAZENECA ambayo ilipitishwa na Shirika la Afya Duniani kuanza kutumika kwa binadamu ili kupunguza...
  5. B

    Tatizo la Upinzani Tanzania ni kukosa itikadi

    Tatizo kubwa la upinzani wa Tanzania ni kufanya siasa za mazoea na mihemko, vyama vinashindwa kujenga wanachama kwa mifumo ya kiitikadi. Pia vimeshindwa kutafuta wanachama kwa Makundi ya Vijana wa Vyuo, waliokosa ajira au wenye matatizo mbalimbali. Matokeo yake makundi hayo yanapotatuliwa...
  6. B

    Uchaguzi 2020 Tanzania hakuna Vyama vya Upinzani makini

    JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa wananchi. Nini Matokeo yake Mpaka unafika mwaka wa uchaguzi Si CHADEMA, ACT Wazalendo wala CUF...
  7. B

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli na sera ya Tanzania ya viwanda

    Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi llazima kuwe na mipango ya muda mrefu na mifupi. Huwezi kuwa na viwanda vikubwa vinavyofanya...
  8. B

    Waandishi wa habari wanafanya kazi kwa uhuru Tanzania

    Serikali ya Tanzania inaendelea kuheshimu na kulinda tasnia ya habari na wanahabari kuweka misingi imara ya sheria inayofanya watendaji wake kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mhimili mwingine wa Nchi. Tasnia na wanatasnia wa Tanzania wapo huru na wanaendelea kulindwa na kuheshimiwa, ili...
  9. B

    Uchaguzi 2020 Leo nitazungumzia utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi na mafanikio makubwa tuliyo yapata 2015 hadi 2020

    Na: Beatrice Condrad Kauli mbiu ya Chama Cha Mapinduzi 2020 ni: TUMETEKELEZA KWA KISHINDO, TUNASONGA MBELE PAMOJA. Kwanza kabisa napenda kutoa UTANGULIZI wa Ilani yetu ya Uchaguzi 2020 kama ifuatavyo; 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Uongozi wa vyama vya TANU na ASP na baadaye CCM...
  10. B

    Mashirika nane ya ndege yametangaza kurejesha safari zao za ndege za kuingia na kutoka mipaka ya Tanzania kuanzia Jumatatu ijayo

    Baadhi ya mashirika hayo yametangaza ndege zake kuanza safari zake Julai mosi kwa kutua Dar es Salaam, KIA, mkoani Kilimanjaro na Zanzibar, Kwa mujibu wa tovuti ya Rick shaw travel group, inayojishughulisha na usafirishaji watalii kwenda kwenye vivutio mbalimbali kwa takribani miaka 32, safari...
  11. B

    WHO yasema idadi ya maambukizi ya Corona hayatakuwa makubwa Afrika kama ilivyokadiriwa

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetabiri kuwa idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika haitakuwa kubwa kama ilivyokadiriwa na kilele chake pia kitachelewa kufika katika nchi nyingi za bara hilo kutokana na hatua madhubuti zilizochukuliwa kuzuia kuenea kwa virusi hivyo. Mkurugenzi...
  12. B

    Mpaka kati ya Tanzania na Zambia (Nakonde) wafunguliwa

    Siku kadhaa zimepita tangu mpaka huo ufungwe na kuleta shida kubwa kwa wafanyabiasha, Usiku wa jana tarehe 14/05/2020 Mpaka huo wa Tanzania na Zambia ulifunguliwa Rasmi kwa kuruhusu msururu wa magari ya mizigo kuendelea na safari zake. Taarifa hii ilitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha wamiliki wa...
  13. B

    Watalaamu wafafanua njia bora za kujifukiza

    Mkurugenzi wa Tiba Asili katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Dk Joseph Otieno alisema kujifukiza ni tiba ambayo imekuwa ikitumika miaka mingi na baadhi ya familia hasa katika maradhi ya mfumo wa hewa, kuziba pua, kuwashwa koo na kuumwa kichwa. Dk Otieno alisema...
  14. B

    Nyerere, Magufuli hata vikwazo walivyopitia vimeshabihiana

    KATIKA awamu ya kwanza ya uongozi wa Rais Dk. John Magufuli, kuna mambo mengi yamejiri ikiwamo dhana kwamba kiongozi huyo anafanana na Rais wa awamu ya kwanza, Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Mfanano unaoaminika kujikita kwenye uwajibikaji wao kwa lengo la kuliletea taifa...
  15. B

    Zitto vs Kafulila(CAG Report Part III)

    #Zitto : Serikali inaficha madeni ya mifuko ya hifadhi. #Kafulila : Hoja yako Zitto ina Matobo matatu, Kwanza ni changamoto ya madeni yenyewe kwa namna yalivyopatikana. Sio siri kwamba kabla ya JPM, mifuko ya hifadhi iligeuzwa shamba la bibi na mali ya genge fulani.Huu ni ukweli unaothibitishwa...
  16. B

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi yaongeza siku za kujiandikisha na kuboresha taarifa za wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza siku tatu za zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa za wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Zoezi hilo lililokuwa lifikie tamati leo kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani sasa litafikia tamati Jumapili February 23 Mwaka huu. =====...
  17. B

    Ununio, Dar: Serikali yakanusha kupora ardhi ya wananchi na kupewa viongozi wa umma

    Serikali imekanusha taarifa ya kuporwa ardhi ya wananchi na viongozi wa umma kilichokuwa kiwanja NA 11 Eneo la Ununio katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Akikanusha kuporwa kwa eneo hilo leo jijini Dar es Salaam mbele wa waandishi wa Habari...
  18. B

    Zifahamu faida kubwa 10 za kuwa na kitambulisho cha taifa

    1. Vitasaidia kuongeza wigo wa mapato ya Serikali. 2. Vitasaidia kumtambua mhusika kirahisi anapohitaji kupatiwa huduma katika taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya. 3. Vitarahisisha kuwatambua wakwepaji wa kurejesha mikopo kutoka kwenye benki na asasi...
  19. B

    WABADHIRIFU WA MIRADI WANALIANGAMIZA TAIFA

    ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Mbinga, John Ndimbo amewaonya wabadhirifu wa fedha za miradi ya umma, kuacha uovu huo, kwani unaliangamiza taifa na kuumiza wananchi wa maeneo zilikoelekezwa kutumika. Aidha, amemtaka kila mwananchi kutenda haki kwa upendo katika eneo lake, iwe kazini au nyumbani ili...
  20. B

    Askofu Cheyo aonya matumizi ya mitandao ya kijamii

    Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Alinikisa Cheyo ameonya wale wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuandika mambo machafu na kutukana wengine kuwa wanahatarisha amani ya nchi. Askofu Cheyo amesema hayo, Jumatano Desemba 25,2019 wakati akitoa salamu za Krismasi...
Back
Top Bottom