Search results

  1. sabuwanka

    Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

    Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye. Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
  2. sabuwanka

    Brenda Mihanjo, msomi mwenye Masters aliyejikita kwenye ufundi seremala

    Brenda, msomi mwenye 'masters' aliyejikita kwenye ufundi seremala Kote duniani vijana walio wengi wamepata elimu, lakini changamoto kubwa imekuwa ni suala la ajira, hivyo wanaamua kuutumia ujuzi wao kama muarobaini kukabiliana na changamoto hiyo. Dar es Salaam. “Vijana wengi tukimaliza kusoma...
  3. sabuwanka

    Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21

    Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21 Dodoma. Mahusiano ya kimapenzi kati ya baadhi ya walimu na wanafunzi umetajwa kuwa miongoni mwa mambo matano yaliyowatesa walimu kipindi cha 2020/21. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Dk Willy...
  4. sabuwanka

    Wabunge 38 wa Uganda wakubwa na corona baada ya kutoka Tanzania

    Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana, Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa...
  5. sabuwanka

    Uongozi UDOM watetea PhD za Mawaziri, na Wabunge

    Siku mbili baada ya shahada za uzamivu (PhD) za viongozi wa kisiasa hasa Mawaziri na Wabunge kuibua mjadala, uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umezitetea na kueleza namna ya kuondoa shaka juu yake. Akizungumza na Mwananchi, Makamu Mkuu wa UDOM, Profesa Faustine Bee amesema wenye shaka...
  6. sabuwanka

    Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati yao

    Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati ya 64 Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mgeni wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa vikwazo 46 vya biashara kati ya 64 vilivyokuwepo kati ya nchi hizo mbili ikiwa ni...
  7. sabuwanka

    Kwanini huwa ni vigumu kurudisha pesa uliyokopeshwa na mpenzi au mwanandoa?

    Wanajukwaa la MMU habarini za mapambano dhidi ya magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa. Binafsi huwa nikipata shida na kukopa pesa kwa marafiki huwa nipo faster Sana kurudisha mkopo, bora nipitie kipindi kigumu lakini pesa zirudi....kosa nikipitia niliyomkabidhi shemeji yenu ya...
  8. sabuwanka

    Uanaume na mazoezi ya mwili ni pacha

    Pamoja na changamoto za maisha zinavyotupeleka kasi, hivi karibuni kumekuwa na matangazo kila kona ya kurejesha uanaume. Mshana husema urijali, Bujibuji husema nguvu za kiume, hali kwa asilimia kubwa husababishwa na mwili kutokuwa na mazoezi ya kutosha ya kuushughulisha moyo (cardio). Jambo...
  9. sabuwanka

    Mahali pa kupata lunch na dinner Dodoma

    Wakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na lunch. Zitakuwa mwongozo kwa wote wageni na wakazi wa Dodoma. Karibuni.
  10. sabuwanka

    Wapenzi wa suruali za jeans

    Wana jf salaam, Miaka kadhaa iliyopita wavaaji wa jeans walionekana ni vijana wa kihuni ,lakini miaka ya karibuni vali hili limezijolea wavaaji wapya wenye heshima zao, licha ya kuwa kwa Tanzania ni vazi lisiloruhusiwa kwa watumishi wa serikali wakati wa saa za kazi..ingawa watumishi wa serikali...
  11. sabuwanka

    Kama ni muhimu ule usiku, kula matunda. Kama huna matatizo ya kiafya usile itakusadia kupunguza uzito uliokithiri

    Wakuu salamu, nimendika sentensi hiyo hapo juu ambayo ni ushauri ulitolewa kwa mtu anayetaka kupunguza uzito, nimepitia thread moja humu mdau akieleza jinsi vyakula vya wali na ugali vinavyochangia kuongeza uzito hasa kwa wanaofanya kazi za maofisini, maana muda mwingi wanakuwa wamekaa na hata...
  12. sabuwanka

    Mitazamo chanya katika biashara ya kupangisha vyumba/vyumba

    Ndugu zangu salaam, Mwaka 2013 kulianzishwa uzi humu ukiwa unazungumzia kuwa mtu anajenga nyumba kwa ajili ya kupangisha hawezi kupata faida, great thinkers Wengi walitoa maoni na mitazamo yao. Miaka imepita, sera zimebadilika,uwekezaji umeongezeka na idadi ya watu mijini imeongezeka, kipekee...
  13. sabuwanka

    Soko la barakoa na sanitizer linafifia!

    Kutokana na leo 16.06.2020 Rais JPM akilivunja bunge, ametangaza shule zote zitafunguliwa 29.06.2020 zilizokuwa zimefungwa mnamo April 17 kutokana na ugonywa wa covid 19. Hivyo wenye stock za barakoa na sanitizer ni wakati wa kuzimalizia hata kwa kurudisha mtaji! Maana zinakosa soko Kama ndoo...
  14. sabuwanka

    Wapenzi wa push-ups & squats

    Salaam wakuu na hongereni kwa kushiriki vita ya kuitokomeza corona Katika kuweka mwili fiti nimeona Kuna mazoezi mawili yasiyohitaji eneo kubwa, na hata chumbani unaweza kuyafanya, nayo Ni pushups kwa kujenga mwonekano wa juu wa mwili , na squarts kwa kujenga mwonekano wa chini wa mwili...
  15. sabuwanka

    Changamoto za watoto wa nje ya ndoa

    Wanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye watoto nje ya ndoa, ni Changamoto gani mnazopotia, na mnazitatua vipi, na je watoto hao wana namna ya...
  16. sabuwanka

    Unapenda mahusiano yako yadumu?

    Wapendwa wangu wana jukawaa salaam. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mahusiano ya kimapenzi na ndoa kuvunjika hasa kwetu vijana, kugombana, kutofautiana, kupishana maneno ni jambo la kawaida kwasababu tunaingia katika mahusiano tukiwa na tabia tofauti tofauti na tena...
  17. sabuwanka

    Rais Yoweri Kaguta Museveni anatufundisha mazoezi ya viungo ya ndani

    Museven anatushauri tufanye mazoezi ya viungo ndani ya nyumba au nyumbani katika kipindi hiki cha ombwe la corona
  18. sabuwanka

    Mchepuko namba D

    Habarini za leo wana MMU, katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuwa michepuko namba D ( mabinti waliozaliwa 1998-2002)wanachangamoto zifuatazo 1. Wana tamaa ya pesa , Kuna tofauti ya kupenda pesa na kuwa na tamaa ya pesa 2. Wana tamaa ya maisha mazuri bila kujua maisha mazuri ni process ya muda...
  19. sabuwanka

    Hili tusi la Siku hii ya Valentine limenitafakarisha

    Wana MMU hongereni kwa kuona siku ya valentine ya 2020! Nikiwa natoka kwenye mihangaiko ndani ya Costa...Kuna mama jirani alikuwa na mtoto wa kiume mwenye mwaka Kama 1 na nusu hivi maana alikuwa ananyonya...na alikuwa akilia kwa muda mrefu huku akiwa anafurukuta Kama vile anashindana na mama...
  20. sabuwanka

    Wanasiasa hawaaminiki? Ni kweli wana uchungu na nchi?

    Wakongwe wa jukwaa hili, nawasilimia shikamoo! Baada ya shikamoo hiyo, tangu JPM aingie madarakani kumekuwa na wimbi la wanasiasa kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM, CHADEMA kwenda ACT, ACT kwenda CUF, n.k. Wengi wao walipewa ridhaa ya kuongoza katika nafasi za udiwani na ubunge ili kuwaletea...
Back
Top Bottom