MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI
Mtu wa vizinga secretarybird
Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak tuachie masela kumsumbua full approach aloo 😂😂😂😂😂🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Niachen jaman msinikalipie NALUD...
Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama.
Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa.
Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati kuna damu zinalia zipo ardhini? Huu ni mtego mbaya sana kwa hili taifa.
Bila toba hatutoboi .
Habari za leo?
Wapendwa ningependa kuwe na utaratibu wa member mmoja wa Jf labda kila alhamisi achaguliwe ili members wa humu tuwe free kumuuliza chochote na ajibu postive. Ishu binafsi ambazo zinaweza kumuanika uhusika wake anaweza asizijibu.
NINGEPENDELEA TUANZE NA HAO TAJWA HAPO JUU MAANA...
Naomba Brother Mshana Jr aweke link za NYUZI zake zote kwenye hii part iwe rahisi kupata content zake za miaka ya kale.
tangu enzi za South Africa kujifunza ubuddist na uchawi mpaka kuokoka na kumrudia Sr.God.
Shikamoo wakubwa pole na majukumu na mihangaiko mimi ni mgeni naomb mnipokee .
Shukrani nyingi ziende kwa mwanzilishi wa JamiiForums kutokana na kuazisha jukwaa hili kupitia jukwaa hili nimejifunza mambo mengi mazuri pia shukrani kwa kaka Mshana jr kwa kutoa elimu mbalimbal kifupi nimejifunza...
Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎
kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo
Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper
Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita...
Humu mpo magenius, Watu mliojawa maarifa na hekima, Wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo mbali mbalimbali
Note: Majibu na hoja yazingatie mantiki
Shikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana
Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata
Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine...
Habarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state
No siasa, itaendeshwa kifalme.
Jiografia ya...
Ni kwanini watu wachawi huwa wanajifanya wana upendo sana? Utakuta kama ni kanisani/ Msikitini wao ndio mstari wa mbele kuhudhuria ibada zote, kutoa michango mbalimbali , kukarimu wageni hapa kwenye kukarimu wageni huwa mstari wa mbele hata kama kumeshapangwa Shekhe au Mchungaji atakula wapi...
Wakuu habr za siku nyingi mimi kama mimi sillent killer 2 kijana peace leo naoa.bdo umri wangu wakawaida (21) sana lakini kutokana na majukumu nimeamua kuvuta jiko mapema.Mungu bless my family and all around me....
WAAFRIKA kiujumla kinachotudumaza ni UTUMWA ambao bado umebaki kwenye fikra zetu kuanzia nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Na kama taifa la Tanganyika tunahitaji ukombozi wa kifikra dhidi ya nini mahitaji yetu ya msingi, malengo yetu, na miongozo yetu kuyafikia hayo mahitaji...
Habari wakuu.. ni ipi biashara nzuri zaidi Kati ya spea za bodaboda au vipodozi kwenye mji unaonza kuchangamka...hasa maeneo kama ya kibaha kwa Mathias..mtaji kiasi gani tunaweza kuwa mzuri kwa hizo biashara pamoja na changa moto zake...naombeni msaada hapo
Jamaa yangu juzi kafunga 40yrs old,
Analalama ameanza kuumwa viungo vya mwili vibaya mno, anadai miguu yake imekufa ganzi Muda MREFU unyayoni,
Analalama mwili wake wote kuwa Kuna vitu vinamchoma choma km sindano anaishia kujikuna Kuna.
Ngozi yake aina ushirikiano na mwili miguu imempauka km...
Habari wana jukwaa.
Ni matarajio yangu kuwa mnaendelea vyema.
Leo katika kufuatilia kwangu kile kinachoendelea kwenye harakati za kuwapata wabunge na madiwani ndani ya chama tawala, nimefurahishwa na baadhi ya wananchi wa baadhi ya maeneo hapa kwa jinsi wanavyoonesha 'reaction' kwa waliokuwa...
Habari za muda huu wakuu??
Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku.
Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.