Kwanini huwa ni vigumu kurudisha pesa uliyokopeshwa na mpenzi au mwanandoa?

sabuwanka

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
690
751
Wanajukwaa la MMU habarini za mapambano dhidi ya magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa.

Binafsi huwa nikipata shida na kukopa pesa kwa marafiki huwa nipo faster Sana kurudisha mkopo, bora nipitie kipindi kigumu lakini pesa zirudi....kosa nikipitia niliyomkabidhi shemeji yenu ya matumizi ya familia, au akiba au aliyeipata kutoka vyanzo vyetu vya mapato huwa nakuwa mzito kurudisha deni ...hadi nikumbushwe kumbushwe ndo hurudisha Tena Kwa kishingo... Wakati watu wa nje ni faster tu huwa sikai na deni....wenzangu kwenu hili likoje? Nini ushauri wenu !

Juzi nimemsikia wife anakoroma umefikisha laki 5, uirudishe haraka.... hahahaha
 
Back
Top Bottom