Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21

sabuwanka

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
690
751
Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21

Dodoma. Mahusiano ya kimapenzi kati ya baadhi ya walimu na wanafunzi umetajwa kuwa miongoni mwa mambo matano yaliyowatesa walimu kipindi cha 2020/21.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Dk Willy Komba jijini Dodoma leo Jumatano Desemba 29, 2021 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadili ya walimu na changangoto wanazokutana nazo.

Dk Komba amesema katika kipindi cha 2020/21, kesi za mapenzi zilikuwa 211 ambazo ni asilimia 11.8 ya kesi za walimu katika kipindi wakati katika kipindi cha Julai hadi Septemba mwaka huu jumla ya kesi 31 zilifunguliwa pia.

Amesema bado walimu wengi wamekuwa na tabia ya kujihusisha na mapenzi na wanafunzi wanaowafundisha kazi aliyosema hailipi kwa wahusika wala kwa Serikali iliyowekeza kwa walimu na wanafunzi.

Mwenyekiti huyo amesema Tume yao imekuwa ikisikiliza maelezo kutoka kwa wahusika wote kuanzia mwanzo na pale wanapobaini kuwepo na tatizo mahali, hatua kali zinachukuliwa ili kuonyesha mfano kwa jamii.

“Jambo la tatu katika mambo ambayo yanatupa shida ni hili suala la mapenzi kwa walimu na wanafunzi, katika kipindi hiki lilichukua asilimia 11.8 ya kesi zote kwani tulikuwa na walimu 211 walioshitakiwa kwa makosa ya kujihusisha na mapenzi kwa wanafunzi,”amesema Dk Komba

Makosa mengine yaliyotajwa kuwasumbua walimu ni utoro kazini, kugushi vyeti, ukaidi na ulevi ambavyo ametaja kuwa vinawasumbua walimu katika maeneo mengi nchini hali aliyosema isipodhibitiwa inaweza kuharibu malengo ya Serikali.

Dk Komba amewaagiza walimu kuwa makini kwenye utumishi wao na kuiishi kauli mbiu yao kuwa ualimu ni kioo cha jamii hivyo wanatakiwa kuwa mfano kwa jamii na taasisi wanazozifanyia kazi ikiwemo kuwa kwenye mavazi yenye staha yasiyowatilia shaka watu.
Gazeti la mwananchi 29/12/2021
 
Watoto wengine Wana najaribu sana sheikh haswa Hawa wa kuanzia 15-17 na 18 kwanza Yale mabadiliko ya kimwili wallah usipozuia macho yako kumuangalia kimatamanio lazima uingie mtegoni na wao wanapenda sababu ndio wanaexplore mambo mapya na kujua utamu wa dudu.

Kwanza wao ndio husikia raha aliona anakuendesha mwanaume mzima basi wanahisi ndio wamewin sana Ila kiukweli kula kitu ambayo haijaenda mileage ni tamu sana acheni tu.
 
List of shame ya Wadanganji Tanzani
1. Machangu
2. Walimu
3. Barmaid
4. Dada wauza vibanda vya tigo pesa
5. Wp jeshi la polisi
6. Wadada wauza Boutique
7. Wadada wa saluni za kiume na wale wa masaji.
 
Ilipswa isomeke hivi: walimu waliamua kijitesa wenyewe kwa kujihusisha na ufirauni
 
MBAYA ZAIDI UNAKUTA WALIMU WANA NDOA ZAO LAKINI WAPI

Tena wale walimu wa field ndio majanga kabisa wanatengeneza bifu na wanafunzi kisa tu kugombea mwanamke
 
Back
Top Bottom