sky eclat

  1. Wambandwa

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  2. sabuwanka

    Uanaume na mazoezi ya mwili ni pacha

    Pamoja na changamoto za maisha zinavyotupeleka kasi, hivi karibuni kumekuwa na matangazo kila kona ya kurejesha uanaume. Mshana husema urijali, Bujibuji husema nguvu za kiume, hali kwa asilimia kubwa husababishwa na mwili kutokuwa na mazoezi ya kutosha ya kuushughulisha moyo (cardio). Jambo...
  3. Removers

    Tukutane hapa wenye Majina ya asili

    Habarini za asubuhi wakuu. Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo.. Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe pamoja na Maana ya Hilo jina uliloitwa au ulilompa mtoto wako..japo baadhi huwa yanaleta ukakasii...
  4. Ganda la ushuru

    Loa Loa Filariasis ni ugonjwa gani

    Habari za usiku wana JF matumaini yangu muwazima wa afya kuhusu Corona tunaomba Mungu hatutetee. Duniani kweli kuna mambo katika pitapita yangu nimekutana na picha ya mgongwa wa loa loa filariasis ambaye alipigwa picha ya jicho lake ,inatisha kweli kwani ndani ya jicho kwenye ile sehemu nyeupe...
  5. isajorsergio

    Je! Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ, Kawe Alumni, Fortaleza na wengineo ndani

    kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojiri Tanzania,. Je, ni muda sasa kueleza matukio hayo kwa filamu? Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Ikiwa wapo wataalamu wa masuala mbalimbali na kila aina ya watu hapa JF Tunaweza kushuhudia kitu kutoka kwa Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ...
  6. Lennovo core i5

    Viongozi Serikali za Mitaa

    Uchaguzi wa serikali za mitaa umefanyika mwezi uliopita. Naamini kila mmoja wetu anatambua kilichotokea hakuna haja kurudia kuandika hapa. Ninaamini kwa dhati kabsa kuna viongozi walioenguliwa kwenye vinyang'anyiro either kwa hujuma or kwa kutoelimishwa au kupewa semina namna ya kujaza kwa...
  7. milionea wa kesho

    Nimeshuhudia aisee Kilimo kinalipa sana

    Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani. Asikuambie mtu kilimo kinalipa...
  8. Umuzukuru

    Kwako sky eclat

    Natumai u mzima wa afya kabisa pamoja na wote wanaokuhusu Kama kweli yaliyomo yamo kupitia threads zako basi nahitimisha kuwa Wewe utakuwa Ni Mama bora kabisa hasa kwa mabinti zako👏👏👏👏👏 Lengo la barua hii Ni kukutaarifu na kukuomba kwa hekima zako uniangalizie miongoni mwa BINTI zako aliyeko...
  9. Myahudi Jr II

    Sasa nataka nijifunze Kiingereza cha Kuandika...

    Habarini wadau.... Kwa muda mrefu sanaa nimekua nikipata shida sana kwenye Lugha ya Malkia hasa kwenye kuandika/kuongea wakati humu ndani kuna wadau wengi sana wanaijua lugha ya malkia vizuri sana Kama kila mdau anavyoichukulia JF kuna mengi sana ya kujifunza. Ni hivi, Nikisoma kitabu cha...
  10. The Iron

    Swali kuhusu viwanda

    Habari za muda huu,nimatumaini yangu kwamba wote ni wazima wa afya Lengo la thread hii nikutaka kufahamu kwamba inakuaje Viwanda vya Dawa ( Pharmaceutical industries ) hapa nchini kwetu unaambiwa havijaidhinishwa katika viwango vya Kimataifa lakini wakati huo huo vinakuwa vinakizi vigezo vya...
  11. Mojojo

    Tatizo la tumbo kujaa gesi na kupelekea mara kwa mara kutoa hewa chafu linahatarisha ndoa yangu

    Waungwana naomba ushauri wenu katika hili tatizo hili limekuwa sugu kwangu huwa natumia dawa za kupunguza gesi lakini zikiisha tatizo linaendelea Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa kipindi chote lakini sasa anasema nisipo tafuta utatumizi wa hili swala anaachana nami Njia pekee...
  12. princemikazo

    Clouds wapiga wimbo wa Mbosso kutoka wasafi

    "Hodari wa mapenzi ya Kwake Mbosso kutoka WCB Wasafi ndo imekua Burudani yetu ya kwanza ndani ya Jahazi la Clouds FM,Naitwa George Bantu niko na Empraim Kibonde pia Dj Too short utamsikia kwenye Mseto Perfect,Mdogomdogo mpaka saa1",,Ni sauti nzito kama uji ya George bantu iliskika akitambulisha...
  13. E

    Hello new member

    Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee (NINAMASWALI KIDOGO) -Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni vibaya kutumia ID yako?? ) -tangu nimeanza kuijua JF asilimia kubwa ya watu wahumu ndani wajinadi ni...
Back
Top Bottom