Mkuu Sky Eclat , hivi ndivyo Watanzania tulivyo, hata ile 2015, kuna watu kama wewe, walisema hivi hivi kumhusu Lowassa, na watu, nikiwemo mimi, tukapanda MV Lowassa, lakini mwisho wa siku waliishia kulia na kushangaa. Hayo makundi ya watu kwenye mikutano ya kampeni sio kura!.
Keep hopping for the best, but prepare for the worst!.
Lissu ni mgombea tuu wa urais, lakini rais ni Magufuli!.
P
tumekuzoea na maandishi yako marefu ambayo ni pointless ,soma kisa cha lazaro na tajiri kwenye biblia akisubiri makombo ya chakula , unajifanya lazaro kusubiri makombo
 
Dada yangu Sky Eclat , sio kama vile nafahamu matokeo, but I'm talking from experience, this is not the first time.

Soma tarehe ya bandiko hili ambalo liko on points format with much more concentration on the last point No.10!.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Baada ya October 28, wakati nikikupa pole, nitakukumbusha!
P
Uchaguzi Mkuu huu ni tofauti na chaguzi kuu zote zilizopata kutokea Tanzania.
1995 Mrema alikua CCM mstaafu
2005 Slaa alikua CCM mstaafu
2010 Sala tena
2015 Lowassa alikua CCM mstaafu.

2020 tume mpaka mpinzani ambae hajawahi kuwa CCM. Anaezijua sheria za uchaguI kwani alishasimamia kesi nyingi za uchaguzi.

This ia in unique election had never happened before.

Mungu husimama na anaesimamia haki. What I can see in Lissu is the man who wantsto make changes for the better in our country.
 
Mleta mada Lisu ni debe tupu hafiki popote yule.

Anachangamsha tu uchaguzi
[/QUOTm

Mbona unaweweseka? Tulia dawa iwaingie vizuri, awamu hii hamtaiba kura hata moja.
Ng'ombe atachinjiwa alikoangukia na kama kulia tutalia wote kudadeki!
 
Kati ya vijana wanao ongoza kufarijiana kwa kipindi hiki cha kampeni Ni Vijana wa pale ufipa.

Japo hata mtoto wa miaka5 anajua kabisa rais wa JMT baada ya 28oct2020 ni jiwe.

Ok Ngoja niungane na Hawa vijana kuwafariji: Watanzania twende na lissu Rais wa awamu ya sita wa JMT😁😁😁
Hawa watoto Wa miaka mitano mnawasumbua sana hawajui lolote,msiwatoe madarasani ili waongeze vichwa,bado wako chekechea msiianze kuwafundisha ufisadi wakiwa na umri huo..
 
Kichwa cha habari kingepaswa kuwa " Yesu yesu yesu na mariaaa Asee yani Huyu Tundulisu ni hatarii anaungwa mkono na Malaki na mamilionyi ya watu yesu ruwaaa" .... in mangi voice
 
Hivi mzee unadhani waTz hawako dynamic?
Kuna makundi tunatumia free mode(freebasic) miezi miwili hatuweki vocha,tukisikia sentence kama hiyo kwako hapo chini huwa tunatamani kimbunga kiwachukue mpelekwe Equatorial Guinea mkaone matunda ya udictator uliokomaa
Yani ukisema magufuli ni dicatator naamini ata watoto wako watakushangaa kwa ukichwa panzi ulionao.
 
Uchaguzi Mkuu huu ni tofauti na chaguzi kuu zote zilizopata kutokea Tanzania.
1995 Mrema alikua CCM mstaafu
2005 Slaa alikua CCM mstaafu
2010 Sala tena
2015 Lowassa alikua CCM mstaafu.

2020 tume mpaka mpinzani ambae hajawahi kuwa CCM. Anaezijua sheria za uchaguI kwani alishasimamia kesi nyingi za uchaguzi.

This ia in unique election had never happened before.

Mungu husimama na anaesimamia haki. What I can see in Lissu is the man who wantsto make changes for the better in our country.
Dada yangu Sky Eclat , naipenda objectivity yako na jinsi unavyojenga hoja, Magufuli ndiye chaguo la Mungu kwa Tanzania, Mungu hawezi kufanya machaguo mawili kwa nchi moja!.
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
p
 
Uchaguzi Mkuu huu ni tofauti na chaguzi kuu zote zilizopata kutokea Tanzania.
1995 Mrema alikua CCM mstaafu
2005 Slaa alikua CCM mstaafu
2010 Sala tena
2015 Lowassa alikua CCM mstaafu.

2020 tume mpaka mpinzani ambae hajawahi kuwa CCM. Anaezijua sheria za uchaguI kwani alishasimamia kesi nyingi za uchaguzi.

This ia in unique election had never happened before.

Mungu husimama na anaesimamia haki. What I can see in Lissu is the man who wantsto make changes for the better in our country.
Hakuna chochote ulichokiona kwa lissu zaidi ya mahaba naye.
 
Back
Top Bottom