St. Paka Mweusi
Reaction score
1,720

Profile posts Latest activity Postings About

 • Safina
  Hi, St. PM.

  Natumai u mzima wa afya. Nashukuru sana kwa mautundu yako uliyotumwagia hapa uwanjani. Jana Niliya-apply yale maujanja yako kwa jamaa, we sijawahi kumwona akipagawa kiasi kile. Yaani we acha tu. Mara nyingi siku hizi huwa ni 1 au 2. Jana jamaa ameenda round mpaka nne, na unajua kila tulipokuwa tunaanza mkamatano, yeye anapeleka mkono wangu kule kwenye nanihii!! Bahati nzuri kucha zangu ni ndefu za wastani na nimezipaka rangi vizuri, japo kile kitu changu kitamu hakina macho da way nilivyokuwa nafanya mautundu kwa umakini wa hali ya juu, kitakuwa kimefurahi sana mpaka hata kimeziona hizo kucha. Hapa niko ofisini, jamaa amenipitia kwenda lunch, katika maongezi amenipa offer week end hii twende kulala hotelini, na unajua nini kwa sababu gani ni kwa sababu ya yale mautundu. Barikiwa sana kwa kuniludishia heshima kwa mpenzi wangu na baba wa watoto wangu. Kama kuna nyingine zaidi naomba unimwagie huku huku, ok P.M. JUST PM ME as u'r name sounds. Gud Evening ma broda.
  St. Paka Mweusi
  MADAM T Mambo mazuri hayataki haraka.
  MADAM T
  Paka .. X-Mass ilikuwaje? Nigawie basi hayo maujuzi
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top