Wakati huu tunaweka collateral gani kupata mikopo toka nje?
Tunatumia rasilimali zetu indirectly ! Kukopesheka kwa nchi kuna mengi yanayo angaliwa ikiwemo uhimilivu wa deni la taifa ! Debt to GDP ratio ! Economic performance ya nchi yaani Balance of trade (import- export ratio), historia ya ulipaji madeni (credibility in honouring loan terms) ukusanyaji wa kodi (internal tax revenues), Gold reserve deposited in International financial institutions (IBRD, IMF), recoverable country assets like fleet of aircraft, operating ships in oceans + resource worthiness of a country as a last resort in case of persistent default !

Mgombea Lisu anataka kuweka rehani country resources directly ! Na anataka "kufuta kodi " kwa wafanya biashara ! Hii ni hatari sana kwa nchi ! Sio kosa lake lakini, ni vile hajui uchumi na hana au hataki washauri kwenye fani hiyo akiamini ugwiji wake wa sheria watosha kuendesha kila fani. Na hapo ndio western countries na hata China hupatumia kuangamiza nchi changa zenye mali asili. Just refer the cases of Pakistan, Bangladesh, Kenya, Zambia....
 
Rais nchi hii anaweza kuidhinisha mkopo bila bunge kuujadili na kuridhia?

Mleta mada naona unahangaika kumsaidia kufafanua Lisu baada ya yet kushindwa kabisa kunadi sera za Chadema kwenye mikutano ya kampeni .Mwezi wa kwanza wa kampeni unajatika bado yeye haekeweki sera za Chadema Ni Nini

Mlazimisheni asome kitabu Cha ilani kama uwezo wa kuzielezea hana
 
Sio Kipaumbele Chetu. Walioweka Rehan Mali Ya Nchi Ni wale walio sighn Makubaliano Tofaut na Barrick
Wala hata hajui unazungumzia makubaliano gani kati ya 2017 na 2019. Makubaliano ya hovyo barrick wanachukua 84% sisi 16%, utopolo huo.
 
Na pia kuweka rehani kwa wazungu mali asili za nchi.
Usiyoyajua Kama usiku wa Giza ,kwanini,mfumo huru was kupata taarifa haupo,kwanini Sheria nyingi kandamizi,Tena kwa hati za dharura,yote kulinda maslahi ya makundi ya wachache.
 
Mgombea wenu si amesema atatumia rasilimali zetu kama collateral kupata mikopo toka nje ? Si ndio rehani hiyo au ?
Ilani ya Chadema inatamka wazi Hilo kuwa ardhi ya madini yetu itawekwa tukikopa rehani ili tukishindwa kulipa waichukue hiyo ardhi maana yake Ni kuwakabidhi nchi maana ardhi Ni nchi kea hiyo tukishindwa kulipa wao kuchukua nchi ni halali yao

Kifupi Chadema wanachosema Ni kuwa tuiuze nchi kwa mkopo
 
Ikani ya Chadema inatamka wazi Hilo kuwa madini ardhi ya madini yetu itawekwa rehani ili tukishindwa kulipa waichukue hiyo ardhi maana yake Ni kuwakabidhi nchi maana ardhi Ni nchi kea hiyo tukishindwa kulipa wao kuchukua nchi ni halali yao

Kifupi Chadema wanachosema Ni kuwa tuiuze nchi kwa mkopo
Porojo Mara nyingi hazijengi taifa letu,tuwe wazalendo was kweli.
 
Usiyoyajua Kama usiku wa Giza ,kwanini,mfumo huru was kupata taarifa haupo,kwanini Sheria nyingi kandamizi,Tena kwa hati za dharura,yote kulinda maslahi ya makundi ya wachache.
Hata ulaya na marekani hizo sheria zipo tena kali sana ! Classified Information, waulize akina Edward Snowden na Julian Assange! Weeee !
 
Ni Ilani hiyo inayotamka pia kutakuwepo na utawala wa majimbo ambapo serikali za majimbo ndizo zitaamua rasimali majimboni mwao zitumikaje?
Ilani ya Chadema inatamka wazi Hilo kuwa ardhi ya madini yetu itawekwa tukikopa rehani ili tukishindwa kulipa waichukue hiyo ardhi maana yake Ni kuwakabidhi nchi maana ardhi Ni nchi kea hiyo tukishindwa kulipa wao kuchukua nchi ni halali yao

Kifupi Chadema wanachosema Ni kuwa tuiuze nchi kwa mkopo
 
Wananchi walio wengi wana kuunga mkono, wamebaki wachache sana ambao bila shaka ni wanufaika wa utawala huu wa awamu ya tano.
Kaba hivyo hivyo, kamatia hapo hapo lazima nchi irudi mikononi kwa watanzania halisi ambao wana utu, upendo na wenye kujali maendeleo ya watu kuliko ma 'stegilazi'.

Hivyo kazia mambo haya kwenye kampeni zako:

- Katiba Mpya(Ya Warioba)
- Suala la mikopo.
- Fao la kujitoa.
- Kuendesha nchi kimajimbo
- Mengine kuhusu ufisadi kama huu wa kampuni moja ambayo inashinda kila Zabuni.

Umeeleweka, sasa wahitaji kuwavuta wananchi zaidi wa kuongeza kura. Una kura za waandishi wa habari, wakulima, wafanyakazi na wastaafu, wanafunzi wa vyuo nk.
 
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele
 
Back
Top Bottom