Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
17,133
40,698
Habari wakuu.

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii.

Nifanye nini wakuu?😪😪

1626681389893.png

Jifungie chumbani kwako, simama mbele ya kioo, jitazame..

Tabasamu..

Kunja uso kama umekasirika..

Cheka...

Nyoosha mikono juu, shusha..

Simama wima huku bado ukijiangalia kwenye kioo..

Halafu jiulize..

Ni jambo gani kati ya hayo uliyafanya hapo juu halikulamilika eti kwa kuwa yeye hayupo kwenye maisha yako...

Kama lipo, kazi unayo...

Kama halipo, ina maana unaweza kufanya chochote pasipo yeye...

Kwani kabla ya kukutana naye ulikuwa unamuwaza? Je, hukuwa na furaha?

Kama jibu ni ndiyo, kazi unayo..

Kama jibu ni hapana, jua kuwa unaweza kuishi vizuri basipo yeye..

Na hata ukawa na furaha zaidi hata ukivyokuwa naye..

Ulizaliwa peke yako..

Just learn how to stop giving a fvck..
 
Thank you mkuu and i tried several times but nashindwa. Ntajitahidi zaidi👏
 
Back
Top Bottom