ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rebeca 83

    Hivi huo ufisadi wanaufanyaje?

    Hello JF, Kama wengine walivyoshtuka Ufisadi uliotajwa na CAG, mimi pia nimeshangaa. Ningependa kumshauri Rais na washauri. wake kusimamia Mali za Watanzania vyema kila Mtanzania ale keki ya taiifa. Ningependa kujua utaratibu ni upi wa kuidhinisha pesa maanake kiwango cha ufisadi ni kikubwa...
  2. M-mbabe

    Uchaguzi 2020 Ufisadi uliobuliwa na CAG umeiondolea sifa (credibility) Serikali ya awamu ya 5. Wapinzani sasa mshindwe wenyewe!

    Ni ukweli usiopingika sasa kuwa upigaji (ufisadi) ambao umekuwepo miaka nenda rudi serekalini bado kabisa haujapatiwa dawa, na serekali ya awamu ya 5 iliyojinasibu kama mkombozi katika eneo hili ni dhahiri imeshindwa kufurukuta kinyume cha matarajio ya sisi wananchi. Kuna uwezekano mkubwa kuwa...
  3. Stuxnet

    CAG aibua ufisadi TPA ya Deus Kakoko, Ni mbaya kuliko wa Kigwangalla

    Kwa wiki zima mitandao ya jamii imemshupalia Dr Hamis Kigwangalla kwa ufisadi wa kutumia Tsh bilioni 2.58 bila idhini ya Bunge. Pengine Kigwangalla yuko kwenye "spotlight" kwa vile siku zote ni mtu wa majibizano kwenye mtandao ya jamii. Sasa kuna manunuzi ya Tsh bilioni 22.69 yaliyifanywa na...
  4. technically

    Miaka 5 ya Magufuli kukimbizana na Chadema na kuacha hoja yake kuu iliyokuwa ni UFISADI

    Nimesikitika sana baada ya kusoma report ya CAG kichere hakika ni majonzi makubwa kwa walipa kodi wa taifa hili, kuanzia Halimashauri wizarani, NEC, Police, Jeshini pesa zimepigwa sio utani hakika zimepigwa. Je wizara zilizo chini yake hali ipoje? je ununuzi wa ndege je matumizi yake hali...
  5. Z

    Ni makosa kuwateua akina Mkumbo nafasi za kiutendaji Serikalini

    Kuna mtindo ndani ya CCM kuwateua walioshindwa ktk mchakato wa ubunge kushika nafasi za utendaji serikalini. Ni makosa na hasara kwa wananchi wanaohitaji utendaji bora. Hawa ni wanasiasa wasio na utendaji mzuri kitaaluma na wanaweza kuwa wamefikia ukomo wa fikra ktk serikali. Wanapoteuliwa ktk...
  6. C

    GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

    Government Procurement Service Agency (GPSA) tatizo ni management kama yule DBSS hafai kabisa kuwa ofisini ni fisadi halafu mbinafsi na mbaya Zaidi anawahonga wakaguzi wanapokuja kumkagua na mambo yanaisha, na ili kulinda ugali wake anawala (anawagegeda) wafanyakazi wa kike walio wepesi...
  7. J

    Kwanini Jumuiya za CCM zimekubuhu kwa unyang'au na Ufisadi? Kila ripoti ya CAG ni lazima watajwe wao

    Hizi jumuiya za CCM yaani UWT, UVCCM na Wazazi zimekuwa zikihusishwa na ufisadi unaokichafua chama mara kwa mara. Last year ilikuwa UVCCM ambapo CAG Prof Assad alifoka sana leo ten Jumuiya ya wazazi imerudia yale yale na kukemewa vikali na Kichere. Kama vipi hizi Jumuiya zivunjiliwe mbali ili...
  8. Mtukudzi

    Ripoti ya CAG, ufisadi kwenye ubalozi wa Sweden. Je, CAG ameamua kumchafua Dkt. Slaa?

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama...
  9. Mtukudzi

    Dr. Slaa bado anapambana na ufisadi?

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama...
  10. S

    Prof. Mahalu amtuhumu Kikwete kumfungulia kesi ya ufisadi kwa uonevu kwa unyemela aliosimamia mwenyewe akiwa waziri Mambo ya Nchi za Nje

    Prof. Mahalu amemtuhumu Kikwete kwamba akiwa Rais alimfungulia kesi ya ufisadi kiuonevu, wakati yeye mwenyewe Kikwete ndiye aliyesimamia uuzaji wa nyumba ya Tanzania kinyemela huko Italy akiwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje. Prof. Mahalu amedai kwamba kwa kuwa Mkapa alijua ukweli wa jambo hili...
  11. Abdalah Abdulrahman

    Ufisadi katika fedha za uchangiaji wa faini za za viongozi wa CHADEMA

    Chadema imeendelea kuwathibitishia wanachama wake wachache waliobaki kuwa ni chama cha kundi dogo la watu wanaojali maslahi yao binafsi kuliko maslahi ya mtanzania mwingine yeyote. Hii inathibitika katika zoezi lililomalizika la uchangiaji wa fedha kwa ajili ya faini za makosa waliyofanya...
  12. Influenza

    Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

    Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA. Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na...
  13. Ole

    Msalato International Airport

    Africa's ambitious infrastructure: Tanzania secures $272m for new airport ''Several African countries, and the African Union itself have prioritised infrastructure development as a means of integrating the continent and connecting people to markets, with an objective of lifting millions out of...
  14. Erythrocyte

    Video: Ufisadi wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam waanikwa

    Yadaiwa aliweka ndugu yake Ubungo Bus Terminal ili akwapue pesa , watendaji wa jiji waliofanya vizuri akiwemo aliyepandisha mapato ya DDC wahamishwa kimizengwe kwa sababu walimzibia kupata 10% , watupwa madongo kuinama , mwingine atupwa Malinyi akapambane na ngedere ! Kwa watendaji wa namna...
  15. Analogia Malenga

    Israel: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu aomba kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameamua kutafuta kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi yanayomkabili. Hatua hiyo huenda ikachelewesha kesi dhidi yake hadi uchaguzi utakapofanywa upya mwezi Machi. Mwezi Novemba, Waziri Mkuu alishitakiwa na mwanasheria mkuu kwa kutoa hongo...
  16. Its Pancho

    Ufisadi unaanziaga mbali hivi..!

    Mpiga picha :mwalimu mkuu, ntakuchaji shilingi 500 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size.. Mwalimu mkuu :mwalimu waambie wanafunzi walete shilingi 1000 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size.. Mwalimu :wanafunzi mnatakiwa kuleta shilingi 2000 kila mmoja kwa ajili ya passport...
  17. Influenza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK) mbaroni kwa kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50

    Picha: Renatus Muabhi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya Mtumishi wa Taasisi hiyo Anadaiwa pia kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50 kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya...
  18. Return Of Undertaker

    Stiegler's Gorge una manufaa machache kitaifa kuliko faida, CCM walitakiwa kujibu hivi vyanzo vya umeme kwanza huu mradi una ufisadi

    Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous. Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo...
  19. JamiiForums

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Ndugu wana JamiiForums, Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi. Karibuni sana. MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa...
Back
Top Bottom