Cameco said uranium spot prices averaged $125.83 US per pound in the second quarter of 2007, compared to $43.42 US in the same quarter of 2006.
New hope for uranium wealth in Dar
By WILFRED...
Nimeona habari kuwa mwezi ujao mradi wa BRT wa mabasi yaendayo kasi unaanza kujengwa kuelekea Tegeta bunju hadi Bagamoyo.
Habari kamili hiyo hapo.
My take: Nitashangaa sana kusikia watakaojenga...
Waziri wa Nishati Dk Medard Kalemani amewaondoa hofu Watanzania kuwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya mto Rufiji wa Julius Nyerere haujawahi kusimama na hautasimama...
Barabara Muhimu ya kimkakati.
Matokeo Chanya yatokanayo na Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu.
Nidhamu kwenye ukusanyaji wa Kodi.
Sera nzuri za Kizalendo pongezi kubwa kwa Mhe Rais wetu Na...
Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35.
Mradi huu...
Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unafaida nyingi kwa watanzania ikiwemo:
1. Utoaji wa ajira, mpaka sasa mradi huu wa SGR umetoa ajira za moja kwa moja zaidi ya elfu 20 na kulipa...
UFAHAMU MRADI WA ’STRIEGLER'S GORGE
Mradi wa umeme wa ‘’STRIEGLER'S GORGE’’ uliasisiwa na marehemu baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere miaka 1970. Mwalimu Nyerere alianzisha wazo la kujenga mradi...
Wakuu,
Mtakubaliana Nami kuwa Bagamoyo Road Kwa kipindi kifupi imebadilika sana kutoka kuwa kibarabara kimoja mpaka kuwa barabara kubwa iliyosheheni makao makuu ya makampuni makubwa ya...
Jamaa wameshinda bid aisee, Bora Hawa kuliko Chinese
===
Hyundai Rotem has won a 335.4 billion won ($296 million) contract to supply 80 electric multiple units (EMUs) and 17 electric locomotives...
MAENDELEO YA UJENZI WA SGR: "Vituo vya Reli hii ni vya kisasa na siyo kwaajili ya kushusha na kupandisha abiria pekee bali itakua ni sehemu ya biashara na huduma za kijamii zikiwemo za kibenki na...
SGR ni ufupisho wa maneno ya lugha ya kiingereza ambayo ni Standard Gauge Railway. Hii ni reli ya kisasa ambayo ina upana wa sentimeta 1,435, inayotumika katika mataifa mengi duniani kwa zaidi ya...
Jirani maumivu yakizidi kaonane na Magufuli
===
Australia-based Magnis Energy Technologies announced yesterday that it reached an agreement with Metallurgical Corporation of China to build a...
MRADI WA RELI YA KISASA (SGR) MOTO NI ULE ULE
Fact Teller
Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kudhihirisha Umahiri wake katika kuhakikisha Mradi wa Reli ya Kisasa SGR haulali [emoji579]...
Hello!!
I have three trucks needs to load a cargo (contanized or loose) from cost regions (DSM,PWANI,MORO) to lake zones regions (KAGERA,MWANZA&MSOMA)
If you have a cargo kindly contact me...
Credit: Railways Africa
4,190km of new track
Supporting pit-to-port
Regional Integration
Trains to be equipped with ERTMS level 2 and GSM – R signalling systems
Local content benefits...
Kwa muda wa zaidi ya miaka 35, Kenya imekuwa ikiongoza kwa Afrika Mashariki katika maendeleo na uandikishaji wa miradi mipya.
Ni katika miaka ya 2016-2017 Ethiopia ikaingia katika kusuguana na...
Serikali yakabidhi mfano wa hundi ya shilingi bilioni 688.6 kwa kampuni ya Arab Contractor kwa ajili ya kuanza ujenzi wa mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya mto Rufiji.
Mkandarasi ujenzi...
TANZANIA :- FAHAMU UJENZI WA SGR UNAVYOENDELEA
Ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Kimataifa (Standard Gauge Railway) ambapo ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam - Morogoro (km 300) umefikia...