Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK) mbaroni kwa kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Messages
961
Points
1,000

Influenza

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2018
961 1,000
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya Mtumishi wa Taasisi hiyo

Anadaiwa pia kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50 kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Bharya Engineering & Contracting Company Limited (BECCO), Manraj Bharya

TAKUKURU imeeleza kuwa imebaini Renatus aliomba rushwa hiyo akidai kutaka kumsaidia Bharya katika tuhuma zake zinazomkabili kuhusu IPTL

Mtuhumiwa alikamatwa Desemba 10, 2019 jioni katika ofisi za BECCO akiwa amepokea fedha za mtego Tsh. Milioni 1 zilizokuwa zimeandaliwa na kuchanganywa na nyingine kufikia Milioni 50.
 
mnyalilungulu

Senior Member
Joined
Sep 27, 2019
Messages
168
Points
250

mnyalilungulu

Senior Member
Joined Sep 27, 2019
168 250
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya Mtumishi wa Taasisi hiyo

Anadaiwa pia kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50 kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Bharya Engeneering & Contracting Company Limited (BECCO), Manraj Bharya

TAKUKURU imeeleza kuwa imebaini Renatus aliomba rushwa hiyo akidai kutaka kumsaidia Bharya katika tuhuma zake zinazomkabili kuhusu IPTL

Mtuhumiwa alikamatwa Desemba 10, 2019 jioni katika ofisi za BECCO akiwa amepokea fedha za mtego Tsh. Milioni 1 zilizokuwa zimeandaliwa na kuchangwana na nyingine kufikia Milioni 50
Halafu Mweyekiti cha mama hicho anakuja kujinasibu anataka kugombea U RAIS jaman MUNGU awe nasi tu
 
Forum statistics

Threads 1,391,801
Members 528,470
Posts 34,090,033
Top