Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello JF,
Kama wengine walivyoshtuka Ufisadi uliotajwa na CAG, mimi pia nimeshangaa. Ningependa kumshauri Rais na washauri. wake kusimamia Mali za Watanzania vyema kila Mtanzania ale keki ya taiifa.
Ningependa kujua utaratibu ni upi wa kuidhinisha pesa maanake kiwango cha ufisadi ni kikubwa sana. Mimi na-suggest kama pesa inatolewa in lump sum, then huu utaratibu ufe. Wizara ama project inayohitaji hela lazima iwe broken into small chunks.
Pesa itolewe kidogo kidogo kufanya lililokusudiwa and then utaratibu uwepo wa ku re-evaluate hizo project kabla ya kuidhinisha pesa nyingine.
Utaratibu uwe evidence practice, kwanza inaonyesha ulichofanya then ndio unapewa hela to do next step.
Tumsaidie Rais wetu maanake Haya mafisadi yanamvua nguo as angependa serikali yake iwe ya wanyonge kina Becky hapa.☺☺☺😢😩