technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Nimesikitika sana baada ya kusoma report ya CAG kichere hakika ni majonzi makubwa kwa walipa kodi wa taifa hili, kuanzia Halimashauri wizarani, NEC, Police, Jeshini pesa zimepigwa sio utani hakika zimepigwa.
Je wizara zilizo chini yake hali ipoje? je ununuzi wa ndege je matumizi yake hali ipoje? kama wasaidizi wake wanapiga vile?
Wakina Kigwangala na katibu wake mpaka sasahivi bado wapo tu ofisi?
Mtu aliyejipambanua ni kiboko wa kupambana na ufisadi miaka 5 imepita anakimbizana na chadema na kuacha sera yake kuu ilikuwa ni kupambana na ufisadi uliokithiri katika taifa? Mahakama ya mafisadi iko wapi mbona wakosoaji ni rahisi sana kuwafunga?
Nakuhakikishia hata hizo kura kidogo ulizopata ni kwamba watu walikuwa na imani kidogo na wewe kuliko lowassa kwenye kupambana na ufisadi ila kitendo cha kufeli kwenye ufisadi hauna pa kutokea umefeli na umewasaliti watanzania.