Ripoti ya CAG, ufisadi kwenye ubalozi wa Sweden. Je, CAG ameamua kumchafua Dkt. Slaa?

Mtukudzi

Senior Member
Nov 14, 2013
103
408
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama wangekarabati nyumba zao za makazi.

My take: Njaa ni mbaya sana.
 
Kwa maan hiyo CAG anataka kutuambia kuwa, mtu akijiunga na chama chetu hata kama msafi kiasi gani lazima na yeye awe fisadi! mimi sikubali hata kidogo, au kwa sababu kile alichokiita choo sebuleni kimerudi chumbani, sasa si chumba kinakuwa self? nisaidieni jamani.

VIDEO: Bilioni 1 ilivyotumika kukodi makazi ya balozi tatu
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
 
Back
Top Bottom