Stiegler's Gorge una manufaa machache kitaifa kuliko faida, CCM walitakiwa kujibu hivi vyanzo vya umeme kwanza huu mradi una ufisadi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous.

Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo utalii upi ambao unapingana na sera zake za kujenga bwawa la umeme ambalo litaathiri mazalia na uoto wa asili ambao ni chanzo cha uwepo wa mbuga na hifadhi ya dunia.

Tanzania vyanzo mbalimbali vya nishati vyenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya 2100MW: 􀁸
  • Gesi Asilia ambayo tunayo Zaidi ya tone mill 55 na tunamiliki 10% ya dunia
  • Makaa ya mawe kule Mbeya kiwira
  • Kuna mafuta toka Uganda na bomba hili kupita Tanzania na kusafirishwa pale Tanga
  • Tuna jua la kutosha kuzalisha umeme
  • Upepo pia hasa maeneo ya singida ambapo inakadiriwa tunaweza kuzalisha megawati 100
  • Umeme wa nguvu ya mvuke inaweza kuzalishwa hadi megawati 5000 mara mbili ya strieglers gorge ambao unapatikana katika bonde la ufa
  • Maporomoko ya maji nje ya huu wa sasa ambapo kuna
  • Ruhudji dam 358MW
  • Mnyera project of 670MW.
  • Rubada wanapendekeza pia maeneo ya Iringa na Mpanga.
  • Malagarasi (45MW) Rumakali (222MW) na Kakono (87MW)
Kiambata kinachoonyesha uwezo mdogo wa kutunza na kuongoza maji tuongalia na wenzetu waliotutangulia tukikumbuka hata mabwawa yaliyopo hutegemea mvua Zaidi na mnakumbuka kuja kwa mradi wa umeme maarufu kama.

1548605036442.png

x Stiegler’s Gorge has been seen as a ‘silver bullet’ solution to this power crisis primarily owing to the size of MW it could contribute.

x However, there are some doubts about the potential for such a project to effectively solve Tanzania’s power issues relating to the seasonality of hydropower:

o With insufficient data, it is uncertain how much the Stiegler’s Gorge output would
vary with the strongly seasonal Rufiji river.

o The Stiegler’s Gorges’ reservoir is large compared to its river. However, it may still be vulnerable to drying up or having to spill water. The firm power, the power that can be more relied upon, should therefore be taken into account.

o There are queries about whether a single seasonally affected plant should be responsible for such a large proportion of the country’s generation.

o Smaller reservoirs, such as Mtera Dam, have often dried up in drought years (although operational factors are also to blame) and consistently varied in output.

o Power crisis in Tanzania occur in the dry season as they are caused by variability of electricity generation as well as an insufficient amount of total power being produced. Seasonality of the water cycle has thus negatively impacted the energy system.

o Seasonal uncertain has been largely unaddressed in the planning of this dam so far: the plans stress the need to reduce seasonality with a large dam and storage capacity, but does not identify the extent of seasonality in power output or commit to details of reservoir operation.

o As the dam will be privately owned, gaining money through selling electricity, the incentive for reservoir management will be to maximise power revenue, unless other uses like flood control are written into the licence.

o Maximum electricity output might compromise mitigation efforts such as annual flood replication, and additional benefits like irrigation.
 
Naona Wajerumani wamulisha notes na wewe ukameza nzima nzima sasa unataka kuwalisha Watanzania wenzako. Ifike mahali uone aibu.
 
Asubuhi ulisema vile na sasa umesema hivi yote ni kuhusu Mradi huo.Jamaa wewe ni bonge la limbukeni!
 
Our doubts are traitors and make us lose the things we oftenly could get, by fearing to attempt
 
Wewe hamia tuu Germany mkatumie huo umeme wa bei rahisi wa gesi...tuachie stiglers gorge yetu
 
Nina uhakika nikiua mtu kama wewe nitapata thawabu kubwa sana.
Wewe ni zaidi ya mchawi kwa taifa hili.
 
Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous.

Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo utalii upi ambao unapingana na sera zake za kujenga bwawa la umeme ambalo litaathiri mazalia na uoto wa asili ambao ni chanzo cha uwepo wa mbuga na hifadhi ya dunia.

Tanzania vyanzo mbalimbali vya nishati vyenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya 2100MW: 􀁸
  • 􀁸 Gesi Asilia ambayo tunayo Zaidi ya tone mill 55 na tunamiliki 10% ya dunia
  • 􀁸 makaa ya mawe kule Mbeya kiwira
  • Kuna mafuta toka Uganda na bomba hili kupita Tanzania na kusafirishwa pale Tanga
  • Tuna jua la kutosha kuzalisha umeme
  • Upepo pia hasa maeneo ya singida ambapo inakadiriwa tunaweza kuzalisha megawati 100
  • Umeme wa nguvu ya mvuke inaweza kuzalishwa hadi megawati 5000 mara mbili ya strieglers gorge ambao unapatikana katika bonde la ufa
  • Maporomoko ya maji nje ya huu wa sasa ambapo kuna
  • Ruhudji dam 358MW
  • Mnyera project of 670MW.
  • Rubada wanapendekeza pia maeneo ya Iringa na Mpanga.
  • Malagarasi (45MW) Rumakali (222MW) na Kakono (87MW)
Kiambata kinachoonyesha uwezo mdogo wa kutunza na kuongoza maji tuongalia na wenzetu waliotutangulia tukikumbuka hata mabwawa yaliyopo hutegemea mvua Zaidi na mnakumbuka kuja kwa mradi wa umeme maarufu kama

View attachment 1006332

x Stiegler’s Gorge has been seen as a ‘silver bullet’ solution to this power crisis primarily owing to the size of MW it could contribute.
x However, there are some doubts about the potential for such a project to effectively solve Tanzania’s power issues relating to the seasonality of hydropower:
o With insufficient data, it is uncertain how much the Stiegler’s Gorge output would
vary with the strongly seasonal Rufiji river.
o The Stiegler’s Gorges’ reservoir is large compared to its river. However, it may still be vulnerable to drying up or having to spill water. The firm power, the power that can be more relied upon, should therefore be taken into account.
o There are queries about whether a single seasonally affected plant should be responsible for such a large proportion of the country’s generation.
o Smaller reservoirs, such as Mtera Dam, have often dried up in drought years
(although operational factors are also to blame) and consistently varied in output.
o Power crisis in Tanzania occur in the dry season as they are caused by variability of electricity generation as well as an insufficient amount of total power being produced. Seasonality of the water cycle has thus negatively impacted the energy system.
o Seasonal uncertain has been largely unaddressed in the planning of this dam so far: the plans stress the need to reduce seasonality with a large dam and storage capacity, but does not identify the extent of seasonality in power output or commit to details of reservoir operation.
o As the dam will be privately owned, gaining money through selling electricity, the incentive for reservoir management will be to maximise power revenue, unless other uses like flood control are written into the licence.
o Maximum electricity output might compromise mitigation efforts such as annual flood replication, and additional benefits like irrigation.

Boss inaelekea unawaelewa vizuri wazungu na siasa zao. Ndio maana chama kinajengwa zaidi Ulaya kuliko Tanzania.
 
Nashindwa kuelewa msomi wa nchi hii anavokomaa na umeme wa Gas ambayo anajua kabisa bei itaamuliwa kwenye soko la Dunia

Haoni Kama umeme wa maji utakua na faida Sana ikiwemo power ya kuamua price yake kuwa mikononi mwa watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia data za flow rates za maji katika mito mingi zinapungua kila mwaka. Kuna mito imebaki kwenye ramani tu lakini inakuwa na maji kipindi cha mvua tu. Ni kama imekauka kabisa.

Rais hataki kusikia data za kisayansi. Kuna watumiaji wengi wa maji kama wakulima wakubwa wa miwa ambao tayari wana suffer. Kujengwa kwa bwawa hili kutasababisha baadhi ya plantation hasa za miwa zifungwe.

Hata hivyo kwa sera za Magufuli za kutoheshimu uhifadhi na kuruhusu watu kulima hata kwenye kingo za mito kutaathiri sana mtiriko wa maji na vyanzo vya maji.

Tutegemee mradi huu kukosa maji mara utakapo kamilika. Na utakuwa white elephant
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom