Kwanini Jumuiya za CCM zimekubuhu kwa unyang'au na Ufisadi? Kila ripoti ya CAG ni lazima watajwe wao

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
45,157
2,000
Hizi jumuiya za CCM yaani UWT, UVCCM na Wazazi zimekuwa zikihusishwa na ufisadi unaokichafua chama mara kwa mara.

Last year ilikuwa UVCCM ambapo CAG Prof Assad alifoka sana leo ten Jumuiya ya wazazi imerudia yale yale na kukemewa vikali na Kichere.

Kama vipi hizi Jumuiya zivunjiliwe mbali ili kukitakasa chama na tuhuma za mara kwa mara za ufisadi na unyang'au. Mbona hatusikii Bawacha, Bavicha au Ngome ya Vijana ACT wakitajwa kila siku ni UVCCM na Wazaxi tu!!!

Mnakera sana bhana.

Maendeleo hayana vyama!
 

kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
4,271
2,000
Mali ilopatikana kiutapeli hutumika na kuisha kitapeli vivyo hivyo. Chakuelewa nikuwa chama kinachojidai kuifuatilia serikali kimeshindwa kujifuatilia chenyewe miaka nenda rudi wanajineemesha kwapesa za kiutapeli. Siku CCM ikifa nchi hii itaendelea kwa nzuri sana.
 

DUMPER

JF-Expert Member
Sep 19, 2017
496
1,000
Jumuiya hizo za ccm haziko kwenye muundo wa kichumi bali ziko kwenye muundo wa kiukombozi...yaani kuchangiwa changiwa kwa siri ambako kunazaa uwizi wa sirisiri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom