kigwangalla

 1. J

  Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

  Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe. Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie...
 2. Influenza

  Waziri Kigwangalla ataka utaratibu wa karantini kwa wageni uondolewe ili kuvutia Watalii

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla kupitia twitter ameandika; Tumeanza kujipanga ndani ya Wizara ili kushawishi serikali yote kukubali namna ya kufungua biashara ya utalii mwezi Juni 2020. Tumefanya utafiti na tathmini (scenario analysis), kuna hatari ya ajira 477,000 kupotea...
 3. J

  Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

  Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona. Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla...
 4. J

  Dkt. Kigwangalla: Sekta ya Utalii ndiyo inayoongoza kwa kuathirika sana kufuatia kuingia kwa Covid 19

  Waziri wa maliasili mh Kigwangalla amesema hapa nchini sekta ya utalii ndio imeathirika sana na uwepo wa Corona ukilinganisha na sekta nyingine. Mashirika ya ndege yamesimamisha safari, mahoteli yamefungwa, watalii wamefuta safari na Hifadhi zetu zinakosa ada za watalii ili ziweze kujiendesha...
 5. mayowela

  Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

  Naweza nikasaidiwa humu kwa wajuzi, haya masuala siyafahamu kiundani ila kupitia maandiko mbalimbali, nk nimekuwa kuna watu siwaamini, nakukaa kwa umakini, kutokumuamini kila mtu, issue za usalama, upelelezi. Hivi Bongo ZOZO ni shabiki tu na mtu mwenye mapenzi na Tanzania au kuna kitu nyuma...
 6. J

  Dr. Kigwangalla: Serikali kuanza kutoa Leseni za bucha za nyama ya wanyamapori hivi karibuni

  Waziri wa Maliasili na utalii Dr Kigwangalla amesema Serikali imebadili sheria ya wanyamapori na sasa wananchi wataruhusiwa kufungua bucha za nyama za porini. Kigwangalla amesema Serikali itatoa leseni za mashamba ya wanyamapori ( ranchi) na wamiliki wa mashamba hayo wataruhusiwa kukata leseni...
 7. J

  Wiki yenye utata: Tulianza na Dr Kigwangalla akaja Kangi Lugolla akafuatia Zitto halafu RC Makonda na sasa ni Mtume na nabii Mwamposya aliyekamatiwa !

  Kiukweli wiki hii ilianza kwa makashikashi ya kisiasa na kumalizika na huzuni ya kuwapoteza watanzania wenzetu zaidi ya 18 katika tukio la kiibada. Tulianza na Dr Kigwangalla na tangazo lake la kuingia vitani kisha akaja Mzee Kangi Lugolla na Ilani yake ya CCM then akaja Zitto na Wazaxi...
 8. Influenza

  Kangi Lugola akubali kung’olewa Uwaziri asema Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe

  Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amekubali uamuzi wa Rais Magufuli kumuondoa katika nafasi hiyo akisema kuwa Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe Amesema, “Kwangu mimi hili ni jambo la faraja. Ninyi Waandishi wa Habari na Watanzania mmemsikia Rais hatua alizozichukua...
 9. Elius W Ndabila

  Ushauri wangu kwa Mh Dk. Kigwangalla

  Habari za leo Watanzania wenzangu wote ambao mtatumia muda wenu mfupi sana kusoma maoni yangu haya ya kumsaidia MH Hamis Kigwangala Waziri wa Mali Asili na Utalii (mzee wa field). Mapema jana nikiwa ninapitia magazeti nilikutana na gazeti la Jamhuri lenye kichwa cha habari kilichoandikwa kwa...
 10. dubu

  Dkt. Kigwangalla aliwashia moto gazeti la Jamhuri kwa 'kumchafua'

  Waziri wa Maliasili na Utalii, na Mbunge wa Nzega Vijijini, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amechukua hatua za kisheria kwa wahariri na wamiliki wa gazeti la Jamhuri kwa madai kuwa wamekuwa wakimchafua katika machapisho yao. Ambapo amechukua hatua...
 11. Alexander The Great

  Gazeti la Jamhuri: Siri ya ugomvi wa Dk. Kigwangalla na Profesa Mkenda hadharani

  Desemba 31, mwaka jana Rais John Magufuli akiwa mapumzikoni katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo mkoani Geita aliwapa siku tano viongozi hao kupatana, vinginevyo angetengua uteuzi wao. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa chanzo cha ugomvi huo ni matumizi mabaya ya fedha...
 12. Makanyaga

  Hasunga amsaidia Kigwangalla kunadi vivutio vya utalii

  Wakati Dk Hamis Kigwangalla akiambatana na wasanii wa bongofleva kuhamasisha utalii wa ndani, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ametoka kivingine. Kwa kutumia fursa ya Tanzania kuandaa mkutano wa kimataifa uliowakutanisha wadau wa korosho kutoka kila pembe ya dunia, Waziri Hasunga ameviuza...
Top Bottom