chande

The chande is a drum used in the traditional and classical music of South India and particularly in Yakshagana theatre art of Karnataka. It follows the Yakshagana Tala system. The rhythms are based on pre-classical music forms that Karnataka Sangeta and Hindustani Sangeetha are based on. There are different varieties of this instrument; two major varieties being the Badagu Thittu Chande (Northern School) and the Thenku Thittu Chande (Southern School). The latter can also be spelled chenda and is used exclusively in the art forms of southern coastal Karnataka and Kerala. This article deals with Badagu Thittu Chande, used exclusively in Yakshagana of Karnataka. The chande used in Badagu Thittu is structurally and acoustically different from the chenda used in Kerala.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume Chande: Dini Nguzo ya Amani

    Ripoti ya Tume ya Jaji Chande ilitambua kuwa taasisi za kidini zilicheza jukumu muhimu na chanya wakati na baada ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Viongozi wa dini mbalimbali walilaani vurugu, kutoa wito wa amani na kusaidia kutuliza mvutano katika jamii. Tume iliona mchango wao kama...
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni makosa kujadili nondo alizoshusha Jaji Warioba juu ya uongo ulioelezwa na tume ya Jaji Chande ukiwa kazini?

    Nimeshangaa sana mwalimu mwenzangu kunibwatukia na kunizuia kujadili suala muhimu kama hili Sawa tupo kazini. Ofisini tusijadili kisa tu sisi ni walimu? Kosa nini kuwa mtumishi wa umma usijadili mustakabali wa taifa lako?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Chande imejibu kila swali la Watanzania na kuacha maoni nini chakufanya kwa weledi kabisa

    CCM OYEEE ,Kazi na Utu tunasonga mbele. Watanzania tume ya uchunguzi ya matukio ya octoba 29/2025 ya jaji chande ilishamaliza kazi yake na Ripoti ilishawasilishwa kwa mheshimiwa Rais . Hii tume ni ya watanzania ,na Mambo na uchunguzi umefanywa na wanasheria wetu nguli wakiongozwa na jaji jaji...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TLS Wanatoa Tamko Juu ya Tume ya Jaji Chande na Tundu Lissu

    https://www.youtube.com/watch?v=ex4HupJgtOg
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majina ya hao watu 518 ambao Chande alisema waliuliwa…

    Wote wenye akili tunajua kwamba tume ya Samia iliyokuwa chini ya uenyekiti wa jaji mkuu wa zamani [sielewi hata huo ujaji mkuu aliupataje], ilikuwa si tume bali ni geresha tu. Ila, hebu tujifanye kama vile hiyo tume ilikuwa ni tume serious. Hiyo tume ilikuja na mahesabu yake. Ikadai kuwa watu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli ripoti ya Chande ni kituko! Aibu kwa Samia

    Hakuna hata idara yeyote inayo aminika imepongeza ripoti fake ya judge Chande. Ni mbaya kiasi kwamba imewaharibia hata washikiri wake kuaminika kimataifa hasa Sefue na Mwema wamekuwa wanajificha maana ni aibu kubwa. Kusema vijana walikufa walichomwa na mikuki, utekaji ni mambo ya...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania SWALI TATA: Maiti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo Chande na tume yake walizichunguza Muhimbili zilitoka wapi? Walikwenda kuzifukua walikozizika au?

    Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza kuwa madaktari wa kuchunguza Maiti Ili kujua chanzo chake CHADEMA wanasema ktk ripoti ya uchambuzi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  10. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Je Tume ya Chande inahoji uwezo wa Tanzania Intelligence and Security Service pamoja na JWTZ ?

    Tume ya Chande imeeleza kuwa viashiria vya maandamano vilianza miezi 6 before - kauli hii imehoji uwezo wa TISS, are they really capable na espionnage kubaini na kuchukua neccesary Measure ! -Hii ni Hatari kubwa sana Kauli ya Chande kuwa kulikuwa na training za watu kujifunza uasi na ulipuaji -...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti wa Jaji Chande Mei

    CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, alipokuwa akifanya Mkutano na Waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kamati Kuu uliofanyika Aprili 28...
  12. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Uwingi wa chande ni viande? Unajua maana ya viande?

    Wadau nauliza Uwingi wa neno chande ni viande au vyande? Tunaweza kutamka kiande katika huo umoja wa chande? Kiande au viande Ina maana gani? Kwa mujibu wa maelezo ya Chatgp AI: Haya maneno ni slang ya vijana wa Tanzania, na yana maana ya kijamii zaidi kuliko kamusi rasmi. “Kiande” (wakati...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mch Mbarikiwa Awachapa za uso wazee wa taifa hili: Mzee Othman Chande, Palamagamba Kabudi, Kitila Mkumbo, mch Hananja, Joseph Butiku, Mrisho Moto nk

    https://youtu.be/DmMvTZn92Cs?si=Pdj11TtTgLHCmAPc Tazama na sikiliza hii mpaka mwisho. Ameanza kwa kunukuu maadiko haya toka katika Biblia - Neno la Mungu ambayo ni Habari Njema kwa Watu Wote yaani👇👇 Mithali 16:31 SUV "....31 Kichwa chenye mvi ni taji ya utukufu, Kama kikionekana katika njia ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Doyo akemea wanaobeza viongozi wa Tume ya Jaji Chande

    Aliyekuwa mgombea nafasi ya Urais mwaka 2025 kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan amewaasa Watanzania kuacha kuwatukana na kuwakejeli Wajumbe wa Tume ya Uchunguzi kwani kwanza ni wakubwa wa umri na ni wabobevu wa Kimataifa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua Hesabu

    Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe. Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba 2025, Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu, wamesema kuna vifo 518 nchi nzima wamesema...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa kutuonyesha "ukihiyo" wa Othman Chande, wengi hatukumjua kabla

    Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo. Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale. Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha...
  17. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kwa propaganda hizi zilizoandaliwa na Tume ya Chande kweli mko serious mnataka Maridhiano? Bila ukweli na Uwajibikaji sioni Maridhiano yakifanikiwa

    Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa? Watanzania au wananchi wa karne hiii hamtaweza tena kuwadanganya kitoto tena...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Paul Mella: Hatujaweza kubaini uwepo wa wanajeshi kutoka nchi jirani kuonekana kupiga risasi

    Balozi Luteni Jenerali Paul Mella moja wa wajumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, akijibu swali la Mwandishi wa habari kuhusu Madai ya Mtaani kuwepo kwa Wanajeshi kutoka nchi jirani kufyatua risasi wakati wa vurugu hizo. Balozi Mella amesema kuwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Upo ushahidi waliopigwa risasi nje ya ghasia sebuleni, yapo majina yametajwa waratibu na waliopeleka fedha

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  20. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Si kazi ya Tume kumtia mtu hatiani au kutamka kijinai

    Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande ameyasema hayo leo Aprili 28, 2026 wakati Tume ya Jaji Othman Chande ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ripoti hiyo iliyowasilishwa mbele ya Rais Samia mnamo Aprili 23, 2026
Back
Top Bottom