Mdude Chadema, Ahaidi kumpelekea moto alietoa ahadi ya kushusha bei ya mafuta

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,121
4,817
Huu ni ujumbe toka kwa kijana machachali na mwanaharakati wa CHADEMA , Akihaidi kumpelekea moto mtu ambaye hajamtaja jina, CHADEMA INA WATU

IMG_20220602_092955.jpg
 
Inaonekana Mdude humiliki gari hali inayopolekea hata kushindwa bei ya mafuta ilikua shilingi ngapi. Mbona bei imeshuka kwa zaidi ya shiling mia tatu?
 
Anaelewa maana ya kupeleka moto au anasema tu..😂
 
Huyu dogo Chadema waachane naye maana atawasumbua bure

Magufuli alikuwa sahihi kwa alichomfanyia.

Mbowe anajitahidi kuweka mambo sawa ila kama vijana wake wanaendeleza uana harakati usio na faida

Punguzo nchi nzima ni la 300
 
Inaonekana Mdude humiliki gari hali inayopolekea hata kushindwa bei ya mafuta ilikua shilingi ngapi. Mbona bei imeshuka kwa zaidi ya shiling mia tatu?
Gharama ya usafiri wa kukodi trucks za mizigo Kutoka Dar to Mza had msm zimeongezeka Kwa zaidi ya 1 million, iyo mia 3 inapunguza nn.

Mnawaza uchaguzi eeee?? 2025 mbaal mno. Haipo RANGI hamtaona.
 
Mdude aliahidi kumyoa huyo kiumbe kabla ya kumpelekea moto, tunaomba mrejesho.
 
Back
Top Bottom