kufua umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Ijumaa, Aprili 12, 2024 3:30 Asubuhi Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared UPDATES Mvua na Mafuriko Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
  2. F

    Bwawa la kufua umeme la Nyerere ni dogo mno kulinganisha na uwezo wa maji katika bonde la mto Kilombero na Rufiji. Tulipaswa kutengeneza walau 6000MW!

    Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu...
  3. Roving Journalist

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji: Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere limepunguza athari za mafuriko Rufiji

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo. Meja Gowelle ameyasema hayo tarehe 05.04.2024 katika mazungumzo yake na wawakilishi...
  4. peno hasegawa

    TANESCO Washindwa kutoa ufafanuzi kuhusu Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa au halina.

    Someni hapa. https://www.jamiiforums.com/threads/bwala-la-kufua-umeme-la-mwl-nyerere-limeanza-kutoa-nyufa.2137275/ https://www.jamiiforums.com/threads/tanesco-watoa-ufafanuzi-kuhusu-bwala-la-kufua-umeme-la-mwl-nyerere-kuwa-na-nyufa.2139865/
  5. R

    TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HALI YA UBORA WA MRADI WA JNHPP NA UHIFADHI WA WANYAMA PORI Jumapili, 10 Septemba 2023. Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mradi wetu wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Taarifa hizo zinaelezea na kuleta hofu kuhusu Ubora...
  6. The Burning Spear

    Leo nalibatiza bwawa la kufua umeme Mto Rufiji

    Asanteni JF Kwa maua maua kuelekea mwisho wa mwaka Na ikawe heri next year panapo majaliwa Bwala la mto Rufiji dedication ni kwa Magufuli na Nyerere. Hawa Ndiyo washika maono wetu. Wamechukua maamuzi magumu kuhakikisha Tanzania iwe na umeme wa uhakika. Bwawa hili Nalibatiza Kwa jina la "...
  7. JanguKamaJangu

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa umeme wa gesi kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa upatikanaji wa umeme wa gesi katika kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II ambacho kinazalisha megawati 240 ambazo zinaingizwa kwenye gridi ya taifa. Kamati hiyo imefanya ziara katika Kituo cha Kinyerezi II kujionea uendeshaji...
  8. Suzy Elias

    TANESCO: Mabwawa ya kufua umeme yamekauka

    "....Kihansi, Hale na Bwawa la Mungu yote yamekumbwa na uhaba wa maji hali inayopelekea mchana kutozalisha umeme ili kujaza maji ili usiku uzalishaji ufanyike." TANESCO. ======= Mamlaka ya Hali ya Hewa hivi karibuni ilitoa taarifa juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi yanayoleta athari nyingi...
  9. N

    Mradi uliokwama kwa miaka 24 wafufuliwa rasmi

    Waziri wa Nishati, January Makamba amefika kwenye Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na kufika kwenye mradi wa kufua umeme kwa Njia ya Maji wa Rumakali (MW 222) wenye thamani ya Shilingi 1.4 Trilioni uliosanifiwa tangu mwaka 1998. Mbele ya Waziri Makamba, Wananchi wamesema walishakata tamaa ya...
  10. B

    Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere: Tunaenda kuondoa tatizo la mgao wa umeme na kukatika mara kwa mara

    Na Bwanku M Bwanku. Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa na Taifa letu kwasasa ni Mradi wa kufua umeme kwa kutumia nguvu ya maji maarufu kama Mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani. Mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme kwa maji utazalisha...
  11. John Haramba

    Rasmi Ethiopia waanza kufua umeme kutoka Mto Nile, Nchi jirani zakasirika

    Ethiopia, leo Jumapili inatarajiwa kufua umeme kutoka kwenye Bwawa la The Grand Ethiopian Renaissance linalokabiliwa na utata lililoko katika Mto Nile. Bwawa hilo limekuwa chanzo kikuu cha mzozo wa kikanda tangu kuanza kwa ujenzi wake muongo mmoja uliopita. Mataifa jirani ya Ethiopia, Misri na...
  12. mwengeso

    Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

    Mengi yamezungumzwa kuhusu ujenzi wa hilo Bwawa. La hivi karibuni ni pale Waziri husika alipodai mkondrasi wa ujenzi, ambaye ana utaalamu, ujuzi, uzoefu na uwezo mkubwa, ati hana mtambo wa kubeba (winch) wenye uwezo wa kusimika milango ya kuzuia maji yenye uzito wa tani 26. Au ni hadithi ile ile...
  13. mshale21

    Wakili IPTL aomba kukiri kosa akamzike baba yake

    Dar es Salaam. Mwanasheria wa kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege, ameiomba tena kufanya mazungumzo na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) ili akiri makosa yanayomkabili na kwenda kumzika baba yake. Mshtakiwa huyo anakabiliwa na...
Back
Top Bottom