johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanakusudia kuweka mchanganyiko wa uhakika wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa.
Makamba amevitaja vyanzo mbalimbali vitakavyozalisha umeme huo kuwa ni Maji, Gesi, Jadidifu, Upepo na Just.
Waziri Makamba amesema hata chanzo cha Nyuklia kinaweza kutumika kama tutataka kwa sababu Uranium tunayo nchini.
Waziri alikuwa akihojiwa na Mtangazaji Benjamin Mzinga katika kipindi cha Dakila 45 ITV.