alizaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  2. Teslarati

    Amefanya mapenzi na mwanamke wa ndoto yake kisha akagundua mwanamke huyo alizaliwa na VVU, je yuko salama?

    Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara...
  3. Kijana LOGICS

    Kama una miaka 25 Wewe ni kijana mzee kama Una miaka 26 Wewe ni mzee kijana

    Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakuwa kijana mzeee. Ukiwa na miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa na nguvu. Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoezi kuwa na tabia ya kucheck sukari, pressure n.k.
  4. T

    Tuhuma za wizi wa Hayati Magufuli haziniumizi, kinachoniumiza kwanini alizaliwa kwenye nchi hii?

    Ndiyo, Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao? Na iliwezekanaje yeye JPM akubali kuzaliwa katika nchi hii ngumu ukilinganisha na aliyoifanyia hii nchi, badala yake, kwa...
  5. L

    Julai 5, 1996: Kondoo wa kwanza aliyeumbwa kwa njia ya kurudufu (Clone) duniani alizaliwa

    Dolly ni kondoo jike aliyeumbwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kurudufu (Clone) na Taasisi ya Utafiti ya Roslin ya Scotland na Kampuni ya teknolojia ya viumbe ya PPL Therapeutics. Kuzaliwa kwa Dolly kumeweka msingi wa maendeleo ya teknolojia ya viumbe vya kurudufu (Clone), na kuibua mawazo...
  6. Komeo Lachuma

    Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

    Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao. Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu...
  7. Sky Eclat

    Siku kama ya leo 2, November 1755 alizaliwa Marie Antoinette Malkia wa mwisho wa Ufaransa

    Alizaliwa Vienna Austria na alikuja kuwa Malkia wa Ufaransa. Watu walipokusanyika kwa Mfalme kulalamika maisha ni magumu hawana hata mkate wa kula (mkate ni chakula kikuu sehemu nyingi za dunia). Aliwaambia kama hawana mkate waoke keki. Kauli hii iliamsha hasira zilizozaa Mapinduzi ya Ufaransa.
  8. N

    Samia aliandikiwa kuwa Rais wa Tanzania hata kabla hajazaliwa

    Mambo ya Mungu huwa ni makuu sana, nawaambieni enyi watanzania, kuna watu walibarikiwa tangu wakiwa Tumboni mwa mama zao Samia Suluhu ni mfano hai tulionao mpaka sasa achilia mbali manabii wa zamani waliochaguliwa angali bado wapo tumboni, Samia suluhu hakuwai kuwa mwanaharakati wala...
Back
Top Bottom