Amefanya mapenzi na mwanamke wa ndoto yake kisha akagundua mwanamke huyo alizaliwa na VVU, je yuko salama?

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo

Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara ya kwanza na huyo binti baada ya kushangazwa kukubaliwa ghafla. Baada ya hapo wamekua wakikulana tu peku peku.

Wiki iliopita sasa jamaa akamkazania yule binti wakapime sababu anadai rohoni alikua haamini amini kama anachakata ile pisi, alihofia kauziwa mbuzi kwenye gunia.

Sasa kila akimwambia binti khs kupima binti anakua mkali. Jamaa akasema basi tutemane, wakatemana. Sasa ile binti kafika kwake si akamtumia ujumbe jamaa yetu, kwamba yeye (binti) anampenda sana jamaa lkn alikua anamkatalia sababu anajijua ana UKIMWI, na alizaliwa nao, aliutoa kwa wazazi wake.

Lakini binti anadai amekua anatumia dawa kiasi kwamba hata baba wa mtoto wake(binti alikua single mom) alipimwa na hakukutwa na maambukizi. Binti akazidi kusema kwamba yeye ametumia dawa toka utotoni hivyo amefikia hatua ya kutokuambukiza. Na hata wakipima kwa vile vipimo vya nyumbani wanakuta negative ila ukweli ni kwamba binti anajijua anao.

Cha kushangaza zaidi yule baba wa mtoto wake yupo safe, na mtoto yupo safe. Na baba wa mtoto wake alijua kwamba binti anaumwa baada ya kupeana mimba. Alivyozaa wakaachana.

Sasa wakuu tumshauri huyu kijana mwenzetu, hapa hana amani anahisi na yy kaambukizwa ila binti anadai hawezi kuambukiza sababu anatumia dawa toka utotoni.

Wataalam wa mambo naombeni mtoe ushauri.

Ngoja nitag staff ya madaktari wa JF hapa, DJ walete na goma la feruzi fast forwad ile verse ya prof jay

DR Mambo Jambo
Herbalist Dr MziziMkavu
Dr. Mariposa
DR SANTOS
Na wengine wengi
 
Muhimu cha kwanza akapime na ajiandae na Jibu lolote na Asijipe matumaini sana wala asijikatie tamaa sana.

Japo Kama ulichohadithia Kina ukweli Uwezo wa Binti kuambikiza ni mdogo sna ni Bellow 1%
 
Muhimu cha kwanza akapime na ajiandae na Jibu lolote na Asijipe matumaini sana wala asijikatie tamaa sana..
Japo Kama ulichohadithia Kina ukweli Uwezo wa Binti kuambikiza ni mdogo sna ni Bellow 1%
Ameshaenda kupima akakutwa negative lkn pale alipoenda kaelezea issue yake akaambiwa majibu sahihi atapata baada ya miezi mitatu, sasa jamaa ana hofu sana. Yaani dogo kanywea kinoma.

Hapa nimemuweka under special care asije kujidhuru sababu alikuja home analia sana.
 
Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo

Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara ya kwanza na huyo binti baada ya kushangazwa kukubaliwa ghafla. Baada ya hapo wamekua wakikulana tu peku peku.

Wiki iliopita sasa jamaa akamkazania yule binti wakapime sababu anadai rohoni alikua haamini amini kama anachakata ile pisi, alihofia kauziwa mbuzi kwenye gunia.

Sasa kila akimwambia binti khs kupima binti anakua mkali. Jamaa akasema basi tutemane, wakatemana. Sasa ile binti kafika kwake si akamtumia ujumbe jamaa yetu, kwamba yeye (binti) anampenda sana jamaa lkn alikua anamkatalia sababu anajijua ana UKIMWI, na alizaliwa nao, aliutoa kwa wazazi wake.

Lakini binti anadai amekua anatumia dawa kiasi kwamba hata baba wa mtoto wake(binti alikua single mom) alipimwa na hakukutwa na maambukizi. Binti akazidi kusema kwamba yeye ametumia dawa toka utotoni hivyo amefikia hatua ya kutokuambukiza. Na hata wakipima kwa vile vipimo vya nyumbani wanakuta negative ila ukweli ni kwamba binti anajijua anao.

Cha kushangaza zaidi yule baba wa mtoto wake yupo safe, na mtoto yupo safe. Na baba wa mtoto wake alijua kwamba binti anaumwa baada ya kupeana mimba. Alivyozaa wakaachana.

Sasa wakuu tumshauri huyu kijana mwenzetu, hapa hana amani anahisi na yy kaambukizwa ila binti anadai hawezi kuambukiza sababu anatumia dawa toka utotoni.

Wataalam wa mambo naombeni mtoe ushauri.

Ngoja nitag staff ya madaktari wa JF hapa, DJ walete na goma la feruzi fast forwad ile verse ya prof jay

DR Mambo Jambo
Herbalist Dr MziziMkavu
Dr. Mariposa
DR SANTOS
Na wengine wengi
The Last kingdom
 
Kama kafanya kitendo mwezi mmoja ulopita na kapima sasa kaambiwa hana..
Obvious hana ajaribu kupima tena baada ya mwezi mmoja kama atakutwa hana...

Basi hakupata kwa huyo dada ila kama baada ya muda mrefu hata miezi minne au mitano ah sita akipata asimsingizie huyo dada yeye ajikinge tu 😅..
Ila kwa maelezo yako inaonekana yuko salama
 
Najua ni wewe
Usiwe na wasiwasi kama anatumia dawa vizuri na kaamua kukuweka wazi endelea nae huwezi pata ukimwi tena ikibidi muoe huyo binti uwe pia unamkumbusha kumeza dawa kwa usalama wake na wewe pia
 
Kama kafanya kitendo mwezi mmoja ulopita na kapima sasa kaambiwa hana..
Obvious hana ajaribu kupima tena baada ya mwezi mmoja kama atakutwa hana...

Basi hakupata kwa huyo dada ila kama baada ya muda mrefu hata miezi minne au mitano ah sita akipata asimsingizie huyo dada yeye ajikinge tu 😅..
Ila kwa maelezo yako inaonekana yuko salama
Anapitia uzi kimya kimya nmempa link. I hope ataona hii comment
 
Back
Top Bottom