Siku kama ya leo 2, November 1755 alizaliwa Marie Antoinette Malkia wa mwisho wa Ufaransa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,267
1635848423812.png

Alizaliwa Vienna Austria na alikuja kuwa Malkia wa Ufaransa. Watu walipokusanyika kwa Mfalme kulalamika maisha ni magumu hawana hata mkate wa kula (mkate ni chakula kikuu sehemu nyingi za dunia). Aliwaambia kama hawana mkate waoke keki. Kauli hii iliamsha hasira zilizozaa Mapinduzi ya Ufaransa.
 
Back
Top Bottom