afisa mtendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Mbeya: Afisa Mtendaji kizimbani kwa kuomba na kupokea rushwa ya TZS 200,000

    Afisa Mtendaji Kata ya Lusungo, Bw. Edestus Clemence Ndunguru, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya kwa shtaka la kuomba na kupokea Rushwa ya TZS 200,000/= ili amsaidie mwananchi kuongea na askari polisi waweze kumpa dhamana katika Kituo cha Polisi Ipinda. Akisoma shtaka...
  2. benzemah

    UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB). Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania. Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Novemba, 2023
  3. JanguKamaJangu

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold anaachia nafasi yake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold amejiuzulu nafasi hiyo na kuhitimisha miaka 16 ya Utumishi wake klabuni hapo. Arnold alichukua nafasi hiyo kutoka Ed Woodward mnamo Februari 2022. Kuondoka kwa Arnold kunaashiria ujio wa Mmiliki mwenza mpya wa Mashetani hao Wekundu, Sir...
  4. B

    Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

    Dereva wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Lusajo Makiwelu, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwamwagia kemikali watu wawili akiwemo mtalaka wake, Witness Nguvalwa (31) na mtoto wake mwenye umri wa miezi sita (jina limehifadhiwa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha...
  5. BARD AI

    Afisa Mtendaji afungwa kifungo cha nje na kutakiwa kurejesha Tsh. Milioni 2 alizoiba

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe ikihusisha kesi ya Jinai No. 38/2023 dhidi ya Nassim Mbazu ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ipapa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Mshtakiwa alikutwa na kosa la Wizi huku akiwa Mtumishi...
  6. Munch wa annabelletz47

    Nipeni ushauri nisome kozi gani Certificate niweze kuwa Afisa Mtendaji wa Kata

    Mm ni mwanafunzi wa chuo X kada ya ualimu mwaka wa pili (degree) lakini pia nazitamani sana hizi kazi za uafisa utendaji wa kata ikitokea ajira katika ualimu ikiwa ni changamoto kupata. Sasa nataka kujiendeleza kielimu nikiwa hapahapa chuo kuna kozi nyingi tu zinatolewa sasa naomba mrejesho ni...
  7. BigTall

    DOKEZO Mara: Adaiwa kujinyonga kwa kamba za viatu katika Ofisi za Kijiji baada ya kukamatwa akidaiwa kutompeleka mtoto shule

    Kuna taarifa mbaya toka Kijiji cha Sota, Kata ya Tai ,Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo Afisa Mtendaji wa kijiji hicho na mgambo wake wanatuhumiwa kumpiga hadi kufa ndugu Justine Chagwa Oliech na baadae kutundika mwili wake ndani ya Ofisi ya Mtendaji ili ionekane kajinyonga mwenyewe kwa kamba...
  8. Wababa13

    Nani anapaswa kuwa na muhuri wa Serikali ya Kijiji kati ya Afisa Mtendaji na Mwenyekiti wa Kijiji?

    Naomba kufahamishwa kwa uchache tu. Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Halmshauri ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa Mtendaji au ule wa Mwenyekiti. Kuna Mihuri special huwa inaitwa Mihuri ya Halmshauri ya Kijiji...
  9. BARD AI

    Afisa Mtendaji afungwa miaka 2 na kutakiwa kurejesha Tsh. Mil 35.7 baada kifungo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu hiyo kwa Lukas Alcado Chole ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chilulumo pamoja na kurejesha Tsh. Milioni 35,7 akimaliza kifungo. Afisa Mtendaji amekutwa na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu, makosa ambayo ni kinyume...
  10. Lady Whistledown

    Kigoma: Afisa Mtendaji ashtakiwa kwa ubadhirifu wa fedha za Umma

    TAKUKURU Mkoa wa Kigoma imefungua shauri la Uhujumu Uchumi Na. ECC. 22/2022 katika Mahakama ya Wilaya ya Kibondo, Agosti 29, 2022 dhidi ya aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Nyaruboya, Boniface Balishimura Kibada. Bw. Kibada anatuhumiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha za Umma...
Back
Top Bottom