Habari za kwenu??
Ili uwe na amani mda wote,hii inajumuisha wote walio ndani ya ndoa au walio na mahusiano ya kimapenzi.
Mwanamke anaweza kukufanya ukaonekana kidume mbele ya jamii,pia anaweza kukufanya ukaonekana kituko na jamii.
Mwanamke mwenye furaha huleta baraka ndani,ndo maana unaweza...
Habari zenu??
Kuna uliusemi unasema "jilipue",ni kausemi fulani kako serious kwa mtu aliyepo serious.
Haya maisha yana formula moja tu take risk,watu wengi walio thubutu formula hii walijikuta wamepiga hatua nyingi kwenye maisha yao.
Mnaweza kusema mleta mada ametake risk gani,kuna kipindi...
Habari zenu....
Katika maisha yangu nilijiapia sitakuja kumpiga mwanamke,mwanamke pekee niliyempiga tena kwa kumnyoosha ni mdogo wangu tu?
Kipindi alikuwa anavunja ungo alikuwa asikii la mtu mimi ndo niliyemnyoosha kama nisingekuwa mimi ndo alikuwa anaenda kuharibu maisha yake kwa kubeba mimba...
TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu.
Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi...
Za nyieeeee..
Mapenzi, mapenzi, nakuita tena xxx.
Ni starehe ya mda mfupi sana, ila majuto yake yanadumu milele.
Ninapozungumzia majuto, nina maana hii.
Kuna kipindi mtu unashikwa na ugwagwadu wa maana mpaka ukiona midoli unatamani kuichakachua, sasa hali inawapataga wanaume tena inawafanya...
Habari zenu....
Kuna mambo yanafanyika tanzania tu,tena yanatia aibu sana..
Kesho wanafunzi wanafungua shule,ila wazazi wao wameshindwa kufanya maandalizi siku nyingi ya kujianda na shule,leo hii ndo wanashituka sasa,yani unakutana na wazazi wapo na watoto wao kariakoo kama wamechanganyikiwa...
Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,
Yaani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya Azam, yaani atakaye pata shida ni azam sio yanga, ebu imagine yanga...
Habari zenu wana JamiiForums..
Moja kwa moja naenda kwenye mada husika kama kichwa kinavyojieleza,kipindi nikiwa mdogo wa miaka 4 na kuendelea,nilikuwa na shangaa sana wazazi wanavyojianda kwa ajili ya christimass.
Wazazi walitununulia nguo kwa ajili ya christimass,nakumbuka baadhi ya nguo...
Kama picha inavyojionyesha,nimejenga hili banda kwa kutumia mbao mwanzo mwisho,wengine wananiambia ni gejenga banda la chuma,wengine wananiambia nimetumia gharama sana kujenga banda hili maana mbao zimekuwa ghari,wabongo wanakatisha sana tamaa,yani wanaona nina pesa kwa kuwa nimejenga kwa mbao...
Habari zenu.....
Binadamu wanaongezeka sana,ila aridhi haiongezeki,tena inazidi kupungua kila kukicha,kama unauwezo wekeza kwenye kununua aridhi sehemu tofauti tofauti,tena nunua kwa kufuata maendeleo ya mji yanavyokuwa,angalia ramani za mji ndo ununue..
Aridhi ukinunua leo baada ya miaka...
Wanajamii forum shikamoniiii woteeee...
Wantanzania wenzangu naombeni tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani, kama una uwezo mkubwa, weka angalau chakula cha mwezi au miezi kadhaa mbele, dunia tunayoishi hii sio ile dunia ya zamani, kulikuwa hakuna tabu ya chakula hata.
Mambo yamebadilika tupo...
Habari za mda huu ndugu zangu wanajamii forum.
Dunia imepita kipindi tofauti tofauti sana, kipindi kile enzi za binadamu wa mwanzo kabisa walitumia dhana za mawe kujipatia chakula,kipindi chuma hakijaja.
Kipindi chuma kimekuja kilikuwa kinaonekana ni kitu cha muhimu sana,binadamu wote...
Wanaume tumeumbwa kwa ajabu sana, tumeumbwa na vichwa viwili daah, kichwa cha juu na kichwa cha chini.
Kichwa cha juu kazi yake kutafuta pesa na kukupa mawazo mazuri ya kusaka pesa, ila kichwa cha chini kazi yake ni kutumia pesa alizotafuta kichwa cha juu.
Huwa najiuliza kichwa cha chini...
Habari zenu humu ndani,
Kijana ukimaliza ujana, tafuta mwanamke mwenye tabia njema, mwenye roho nzuri ilikukupeleka kwenye safari njema ya maisha na uzee.
Kwa sababu sura nzuri itazeeka, mwili shupavu utachakaa lakini roho nzuri na tabia njema utabaki navyo mpaka kufa.
sisemi wanawake ulionao...
Habari za muda huu ndugu wana Jamii Forums? Natumaini mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu hili pendwa Tanzania, changamoto zipo ila cha msingi ni kuzishinda huku tukimtanguliza Mungu mbele.
Napenda kujikita kwa mada huska kama ifuatavyo,
Afya yako ni jambo la msingi sana. Afya yako kuwa...
Kwema wanajamii forum??
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kuna mdogo wangu ananisumbua sana,kamaliza chuo sasa hana kazi,kaniomba nimfungulie office ya ufundi simu.
Sasa nilitaka kujua mpaka ufungue hiyo office itagharimu kiasi ghani? Na kila kifa cha muhimu bei yake na kinaitwaje??
Dogo...
Niko fiti kamili gado, sijui wewe?
Hoja yangu ya msingi inakwenda kwa nyie wakazi wa bongo land a.k.a jiji la chura wanaonesanesa kwenye vumbi, vijana wala chips mlenda mlenda a.k.a mabwabwa, ila sio wote wapo hivyo ni baadhi yao, msinielewe vibaya.
Laana iliyopo dar ni zaidi ya sodoma na...
Nakuja ifuatavyoooo...
Nasema tena kwenye haya maisha usije mdharau mtu,nakumbuka kipindi tukiwa wa dogo, msimu wa kufunga shule kwa ajili ya likizo ya December wazazi walikuwa wanatupeleka moshi kwa ajili ya kula Christmas maeneo ya machame, sasa kipindi hicho tukiwa huko machame kijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.